Kwanini Watanzania tuko tofauti na Waafrika wengine?

Zenji wanakula kima, kenge, buku na kuna mnyama yupo kama nyau, nimemsahau jina" nae wanamla. We mleta mada tembea uone!!
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu wa vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzania pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia ,,we kuja hapa", sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwezekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingine Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendelea kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya kijamii!
Ustaarabu ni malezi kuanzia ngazi ya familia!ndo mana msingi wa ustawi wa jamii yoyote ile ni familia!
 
Watanzania tumepewa kalma na Mungu ya kuwa watu wastaarabu ktk maisha yetu ya kila siku.. Interactions of makabila, huruma kwa raia mwenzake.. Mungu ilinde Tanzania yetu na Watanzania kwa ujumla
Mmmh! Mbona ngumu kumeza mkuu?
 
Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwezekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingine Uhalifu ndiyo nyumbani...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya kijamii!

Yaani kila nikiangalia tena hii mada yako nasikia hasira. Hivi wewe, ukiwa na akili timamu unaweza kuweka mlinzi kwenye banda ambalo ndani hamna cha kuiba? Tangu lini fukara akakosa usingizi? Kwa kuogopa kuibiwa nini, migomba?

Nasikitika sana kuwa hujawahi kubakwa, lakini sidhani kama (ukiweka unafiki pembeni) hujawahi kusikia matukio ya:
1. Watu kubakwa
2. Albino kuuliwa
3. Vikongwe kuuliwa kwa imani za kishirikina
4. Watoto walemavu kufungiwa ndani
5. Mama ntilie kunyang'anywa ubwabwa wao na mgambo
6. Mjane kudhulumiwa na tajiri ardhi au nyumba yake
7. Machinga kubomolewa vibanda vyao na mgambo

Haya ni machache tu kati ya madhila yanayowakuta Watanzania, lakini wewe unahubiri 'paradiso' sababu tu umevimbiwa siasa. Hivi kwa akili tu ya kawaida, Tanzania ina kilometa elfu kadhaa za bahari, tunakula samaki kutoka Msumbiji na Japan, paradiso gani hii yenye bahari bila samaki?
 
Bado niko na wewe, yaani nasikitika kweli kuwa unatamani kubakwa lkn huwi muwazi
 
Attachments

  • Mamarosa.png
    Mamarosa.png
    142.5 KB · Views: 40
Acha uongo hakuna Mtanzania anayekula Mbwa leo hii, hizo ni hadithi tu za zamani nimefika Iringa nimetembea huko kote sijawahi kuona Bucha inayouza nyama ya Mbwa au mtu akila nyama Mbwa bali wanakula nyama za kistaarabu kama Ng'ombe, Mbuzi, kuku n.k lkn Mbwa hakuna kitu kama hicho, ila hawo Waafrika wengine wa Kongo au AM ni kweli wanakula Sokwe na Nyani na ndiyo hasa chanzo cha Ebola, huko ukienda Kongo au Kameruni ni kawaida kabisa kukuta bucha inauza nyama ya Sokwe au Nyani, hapa Tanzania ni wapi kuna bucha imeandikwa inauza Nyama ya Mbwa au Panya?

Hiyo ni Bucha huko AM, ni wapi hapa kwetuTanZania kuna bucha au soko la hivi? Nitajie!
0822bushmeat03.jpg

Hii ni bucha ya Nyama ya Sokwe/Nyani Mji Mkuu wa Ivory Coast Abijani, nionyeshe wapi Tanzania kuna Bucha ya kuuza nyama ya Nyani?

2014-03-27t150847z_1007970001_lynxmpea2q032_rtroptp_2_ozatp-us-health-ebola-bushmeat.jpg
Hao wanakula sokwe ndio maana wanaume wao wengi wanamiguvu na wanasakata kabumbu kule Ulaya na kulipwa mapesa mengi.. Nyie mazuzu mnaokula nyama ya ng'ombe na mbuzi mmefanikiwa kwa lipi?? Wakenya bila ya ustaarabu wao ila wanashinda medali za mbio na rugby kila siku, nyie na ustaarabu wenu mmefanikiwa kwa lipi??
 
Arusha ipi hiyo? Siyo Chuga niijuayo na hiyo unayoisema kwangu siijui kabisa, nijuavyo mimi kila Mkoa kuna lafudhi ya huwo Mkoa hivyo ukienda kama hauna hiyo lafudhi watakushtukia kama wewe ni mgeni na watakuuliza ambapo siyo tatizo wanataka tu kujua unatokea wapi lkn haimaanishi kwamba watakubagua, ukienda Kusini hasa Mtwara ukianza tu kuongea na jamaa watakujua moja kwa moja kwamba wewe siyo wa Ntwara lkn haimaanishi kwamba watakubagua ...
Uko sahihi
Lafudhi ya Arusha imekaa ki command hiv..mtu anaweza akawa anaongea na wewe kistaarabu lakin kama hujazoea ukaona si lugha ya kistaarabu
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu wa vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzania pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia ,,we kuja hapa", sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwezekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingine Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendelea kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya kijamii!
Mleta mada unanitisha sana, wenzetu hawana sana au hawajazidiwa sana na matatizo tuliyonayo kama UJINGA,UMASIKINI,MARADHI,UFISADI,MWENDO KASI DECESIONS n.k.n.k ambayo matatizo yanaongezeka kila kukicha tunaandika historia ya Mswahiba tuliyonayo na kuongezeka.
Sasa sijui kama wenzetu tunaweza fanana nao kwa hayo machache tu au?
Ninajua unajaribu kutuliwaza Watz. lakini ni vigumu maana this is Live and Direct no Diversion.Kwani heshima ya uwoga na unafiki siyo mzuri bora wenzetu maana ni wa kweli na wawazi hawana NIDHAMU YA WOGA NA KUTUKUZANA KWA KUWAFANYA BAADHI YA WATU MIUNGU WATU AU MALAIKA NA WAKAMILIFU.
 
Itakua 2likuepo kwenye bustan ya eden
Itakuwa kweli kwa sababu hata kwenye biblia wameandika eden ilikuwepo katika nchi iliyozungukwa na maziwa makuu na Tz ndo hivyo kuna victoria(ziwa kubwa) na Tanganyika(kina kirefu dunian)
 
Basi ="Barbarosa, post: 16519972, member: 284899"]Kama hiyo ni kweli basi Tanzania pia ni kubwa kwani sijawahi kukutana na Mtanzania anakula washa washa na nimezunguka hapa nyumbani sana tu!
Ebu subiria comment za wengine[/QUOTE]

Washa washa inaliwa Tanzania katika baadhi ya maeneo.Natokea eneo ambalo washa washa ilikuwa moja ya vyakula adhimu,vitamu vya msimu unaokaribia mavuno.
 
Mleta mada unanitisha sana, wenzetu hawana sana au hawajazidiwa sana na matatizo tuliyonayo kama UJINGA,UMASIKINI,MARADHI,UFISADI,MWENDO KASI DECESIONS n.k.n.k ambayo matatizo yanaongezeka kila kukicha tunaandika historia ya Mswahiba tuliyonayo na kuongezeka.
Sasa sijui kama wenzetu tunaweza fanana nao kwa hayo machache tu au?
Ninajua unajaribu kutuliwaza Watz. lakini ni vigumu maana this is Live and Direct no Diversion.Kwani heshima ya uwoga na unafiki siyo mzuri bora wenzetu maana ni wa kweli na wawazi hawana NIDHAMU YA WOGA NA KUTUKUZANA KWA KUWAFANYA BAADHI YA WATU MIUNGU WATU AU MALAIKA NA WAKAMILIFU.

Umetembelea nchi gani jirani na sisi iliyobora katika maeneo uliyoyataja kuliko sisi? Msumbiji,Zambia,Malawi,Burundi wanaisalimia shikamoo Tanzania.
 
kuhusu vyakula hapo mmechemka, chakula unachoona wewe si cha kawaida, kwa jamii inayokula inaona ni cha kawaida
 
Umetembelea nchi gani jirani na sisi iliyobora katika maeneo uliyoyataja kuliko sisi? Msumbiji,Zambia,Malawi,Burundi wanaisalimia shikamoo Tanzania.
Salamu siyo shida ndugu yangu au nidhamu ya woga? Tatizo letu kubwa now days ni unafiki ambao umetujaa toka kwa wananchi na hata viongozi wa nyanja zote.
Nidhamu au maadili pamoja na maisha yetu yamekuwa ni ya maagizo tu hayana uhalisia wowote ule yaani tumekuwa na Facial Life na ya kuigiza zaidi.
 
Back
Top Bottom