Ndio maana nilikuambia wewe mbumbumbu. Tanzania kuua nyani ni kosa la jinai, utamkuta vipi anauzwa buchani wewe?
Wanaokula tumbili na kima wanakula kimtindo huko mashambani. Unapoongea porojo zako zingatia na sheria za nchi husika
MM kima nakulaTuko vizuri kwenye lugha nzuri .ila vyakula usisahau "washawasha na panya wanaliwa vizuri sana"
Cc:wamakonde
Hatunenepi au tunazidi kuwa na vibamia na upunguvu wa nguvu za kiume?Wabongo bwana kwa kujisifu ndo maana hatunenepi waafrika magharibi wanakuwa na miili mikubwa kwa sababu wanakula mamba
Sasa hauoni kama huwo ndiyo ustaarabu wetu wenyewe kwamba nchi yetu ina maana hairugusu sisi kula Nyani, lkn huko Kongo, Kameruni, Ivory Coast, Nigeria ni kawaida na kuna Bucha zinazouza nyama za Nyani, Sokwe &Co. na ndiko ebola ilikotokea, wamepata ebola kwa sababu ya kula nyama za Masokwe ambao wana virusi vya ebola!
Ni kweli kabisa nafikiri anataka kutia moyo kwa sababu ya shida nyingi tulizonazo watanzania ukweli ni kwamba atembelee nchi kama Rwanda, Namibia au Botswana nafikiri atashangaa.czani kama uko sahihi sana ..umeshafika Namibia au Botswana?
wewe mleta mada umezunguka tz yote.kila eneo wanachakula chao special mfano ukija huku kwetu mbwa ndo mboga yetu.wengine nyoka,punda,senene,usiseme konokono n.kHili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!
Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu wa vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzania pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!
Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia ,,we kuja hapa", sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?
Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwezekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingine Uhalifu ndiyo nyumbani...
Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendelea kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...
*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya kijamii!
Tuliiga ustaarabu wa Muingeleza wakati anatuachia nchi yetu,ndo mana hata kuvaa kwetu ni kwa ustaarabu.ukiondoa wale wanaoiga umarekani hasa dada zetuHili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!