Kwanini Watanzania tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utu, kuheshimiana, busara, upole, wema, huruma, kusaidia na kupendana ni asili ya tunu ya ustaarabu tuliyonayo....
Lakini kutokana na maisha jinsi yalivyo sasa hivi tunauana, tunadhulumiana, hatujakuasi, hatupendani, sasa ustaarabu uko wapi hapa?????
 
Tatizo lako wewe siyo Intelligent man, kwa maana unashindwa hata kuoanisha mambo, mimi niko kwenye mambo mengine kabisa wewe unaleta Siasa tayari na kuanza kunihusisha na CCM, ni wapi nimeitaja CCM au Chama chochote kile cha Siasa? Au ulifikiri labda kusema TanZania ni nchi ya kistaarabu nilitaka kusema CCM ndiyo imeleta Ustaarabu? Man jaribu kuwa smart kidogo usiangalie kila kitu kwamba ni black and white kuna njia ya kati kati pia, na siyo kila kitu kinahusu u CCM au uukawa hii siyo mada ya kisiasa na ndiyo maana haiko kwenye eneo la Siasa, jifunze kuelewa mambo madogo kama haya yatakusaidia kwenye maisha yako pia kwamba maisha siyo black and white tu!
Baada ya hizi ngonjera zoooote ulizoorodhesha hapa nikafikiri utakanusha kwamba nilivyoorodheshwa haviliwi. Sasa iko wapi mada yako? Nilipoitaja CCM sikubahatisha, unashinda Lumumba lkn unaleta salamu kutoka dunia nzima. Sawa, wewe ni intelligent woman, lakini kwenye hii research yako = 0
 
Acha uongo hakuna Mtanzania anayekula Mbwa leo hii, hizo ni hadithi tu za zamani nimefika Iringa nimetembea huko kote sijawahi kuona Bucha inayouza nyama ya Mbwa au mtu akila nyama Mbwa bali wanakula nyama za kistaarabu kama Ng'ombe, Mbuzi, kuku n.k lkn Mbwa hakuna kitu kama hicho, ila hawo Waafrika wengine wa Kongo au AM ni kweli wanakula Sokwe na Nyani na ndiyo hasa chanzo cha Ebola, huko ukienda Kongo au Kameruni ni kawaida kabisa kukuta bucha inauza nyama ya Sokwe au Nyani, hapa Tanzania ni wapi kuna bucha imeandikwa inauza Nyama ya Mbwa au Panya?

Hiyo ni Bucha huko AM, ni wapi hapa kwetuTanZania kuna bucha au soko la hivi? Nitajie!
0822bushmeat03.jpg

Hii ni bucha ya Nyama ya Sokwe/Nyani Mji Mkuu wa Ivory Coast Abijani, nionyeshe wapi Tanzania kuna Bucha ya kuuza nyama ya Nyani?

2014-03-27t150847z_1007970001_lynxmpea2q032_rtroptp_2_ozatp-us-health-ebola-bushmeat.jpg

Ndio maana nilikuambia wewe mbumbumbu. Tanzania kuua nyani ni kosa la jinai, utamkuta vipi anauzwa buchani wewe?
Wanaokula tumbili na kima wanakula kimtindo huko mashambani. Unapoongea porojo zako zingatia na sheria za nchi husika
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia ,,we kuja hapa", sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingene Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya Jamii!
Nimepende sana post yako na mambo uliyoyaasema ni ukweli umenishitua kusema unatembea mpaka saa 10 alfajr jambo hili liache bana utapata matatizo sio kila mkoa upo swari
 
Umeongea mengi ya kweli lakini jinsi unavyoona tu lugha nzuri ya upendo ni kutokana hasa ya sisi kuendelea kuishi katika misingi ya awali ya binadamu yaani ujima, ujamaa ama egalitarian life. Hiyo ni dalili tosha kuwa we're so poor ndiyo maana tunajali sifa za kibinadamu za kusaidiana na kujaliana katika shida. Makabila yote ya Tanzania yenye umasikini mkubwa yana maisha ya namna hiyo ndiyo maanawasukuma wanaitwa washamba kutokana na ubinadamu walionao wa kusaidiana wakati wachaga wanaonekana ni wabinafsi kwa sababu wameendelea na wanaishi kama wenzetu wazungu - individualism. Hivyo hilo no jibu kuwa sisi ki masikini.
Si mnaina wachina, walijidai kuwa ni wajamaa lakini baada ya kupata maendeleo ya haraka tangu mwishoni mwa miaka 1980s wamebadikika na si wenzako tena. Angalia pia wavietnam, warusi na hata hawa jamaa zetu tuliowasaidia kupara uhuru hasa S.A., Namibia, Angola na Zimbabwe, labda Mozambique ndio bado wametulia kutokana umasikini wao. Hata hivyo baada ya wao (Mozambique) pia kugundua gesi zaidi ya futi za ujazo trillion 200 (karibu mara nne ya gesi tuliyogundua watakuja pia kubadilika kitabia). Hivyo we are not that much peculiar to other societies, rather our poverty have dictated terms to our minds.
 
Ulivyokuwa ukiibiwa ulikataa?
Au ndiyo miongoni mwa mliozibiwa milija. POLE
 
Wakuu nimesoma wote lakini alichokisema Barbadosa ni kweli kabisa, pamoja na hayo mapungufu mengine watz tuko juu sana kwa ustaarabu ukilingalisha na waafrika wengine ngozi nyeusi... Watu waliotembea ughaibuni na ma nchi mengine ya Afrika wanalijua hili ila kama hujatembea nje ya nchi hata hapo Nairobi huwezi kukubaliana na mleta uzi.. Tatizo wengi wanaoponda humu wenyewe kila kitu siasa toka Ngosha ameingia mjengoni wanajijambia tu na kila jambo endeleeni kugomea tu vikao vya bunge.. Sisi hapa kazi tu hatetereki mtu hapa .. Mijitu mingine eti inasema watz waoga sio waoga ni werevu hivi nani mnafikiri mjinga aingie barabarani aandame kwa ajili ya mijitu kama mi kina Mbowe, Lissu, na Ukawa kwa ajili ya matumbo yao, watz wajanja kila mtu anajali familia yake kujitutumua kijinga wakati wengine wanafaidi acha tu waonekane waoga ngenge nini??...Nyanoko lolo zenu!
 
upo sahihi mtoa mada, Tunasaidiana sana na tunaoneana huruma. Japo kuna wachache wenye roho za mashetani
 
Kwenye vyakula watanzania wanakula Nyani nenda ngoro ngoro pia kuna mnyama jamii ya Nyani anaitwa Kima analiwa na baadhi ya watu mkoa wa Kilimanjaro.

Mbwaa analiwa na baadhi ya watu mkoani Iringa.
Panya nenda Lindi, Mtwara analiwa vizuri tena ni kitoweo pendwa. Kuhusu ustarabu sio kweli watanzania tu matapeli na tunaishi kiujanja ujanja kwani life style yetu sio original ni ya kuiga tu kwa wazungu na mitandao ndio maana siku izi neno nakupenda halitumiki kama neno I love you.
IRINGA hawali panya! Mimi sio mhehe ila nimekaa IRINGA, kuna majani ya maharage yanaitwa Chadogi ndo mnawasingizia. Acheni maneno ya kutunga hayoo
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia ,,we kuja hapa", sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingene Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya Jamii!

Mkuu, sisi ni "waoga" tuu na ndio maana wajanja wachache wanatuzidi akili kila siku. Nadhani ni system ya utawala ndio imetufanya kuwa hivi.

Jambo la tahadhari ni kwamba, woga ukizidi mtu huwa mnafiki.
 
IRINGA hawali panya! Mimi sio mhehe ila nimekaa IRINGA, kuna majani ya maharage yanaitwa Chadogi ndo mnawasingizia. Acheni maneno ya kutunga hayoo
Tatizo la watanzania wengi hawapendi kufikiri kwa mapana. Kuishi kwako iringa sio sababu kuwa unafahamu kila kitu. tamaduni za kila jamii au unafahamu kila kitu kinachofanyika katika mkoa wa Iringa
1. Jiulize iringa ina wilaya ngapi?? Kata ngapi?? Mitaa mingapi
Vijiji vingapi? Na wewe umetembea na kuishi kila eneo la mkoa wa iringa???
Kama jibu siyo jiongeze
 
Kwenye vyakula watanzania wanakula Nyani nenda ngoro ngoro pia kuna mnyama jamii ya Nyani anaitwa Kima analiwa na baadhi ya watu mkoa wa Kilimanjaro.

Mbwaa analiwa na baadhi ya watu mkoani Iringa.
Panya nenda Lindi, Mtwara analiwa vizuri tena ni kitoweo pendwa. Kuhusu ustarabu sio kweli watanzania tu matapeli na tunaishi kiujanja ujanja kwani life style yetu sio original ni ya kuiga tu kwa wazungu na mitandao ndio maana siku izi neno nakupenda halitumiki kama neno I love you.
Hizo nistori tu huwezi kuta hayo madudu yanauzwa mgahawan labda kweny baadhi yafamilia lakin nje yatanzania unaagiza konokono mgahawan....tz niyakipekee
 
Tatizo la watanzania wengi hawapendi kufikiri kwa mapana. Kuishi kwako iringa sio sababu kuwa unafahamu kila kitu. tamaduni za kila jamii au unafahamu kila kitu kinachofanyika katika mkoa wa Iringa
1. Jiulize iringa ina wilaya ngapi?? Kata ngapi?? Mitaa mingapi
Vijiji vingapi? Na wewe umetembea na kuishi kila eneo la mkoa wa iringa???
Kama jibu siyo jiongeze
We we ndio nakushangaa unaandika vitu pasipo uhakika. Nimezunguka huo mkoa maeneo mbalimbali. MF. Mafinga,Dabaga,Idodi, Isimani, Kilolo,Ilula etc. Najua ninachoandika we we unaleta porojo zisizo na maana hapa.
Hujui hata maana ya research, haifai kuchukua sample Kwa hayo maeneo? Au unafikiri unachowaza wewe ni sahihi kila wakat?
 
watanzania ni wastaarabu na baadhi wanaroho mbaya sana.....

Nionavyo mimi, makabila yanachangia, makabila mapole yanachangia kuimarisha amani na upendo, makabila yenye ubabe hayapati sapoti katika uhalifu badalayake makabila husika hukosa uungwaji mkono katika kuoeleana, na kujenga familia, kwa mfano mnisamehe, wachaga wengi ni wazuri na watu poa lkn dakk 10 mbele hawana masiahala katika pesa, wasambaa utacheka naoooo lakini katika mapenzi hawataki mas hala mtauana.

Katika mifano michache hiyo na mingine mingi mathalani wachaga wa Uru ni watu poa sana hata kuoa au kuoelewa. Na wachaga wenyewe wanajuana Kuwa achana na mmachame hafai, binafsi niliona mifano kadhaa na kuelezwa na mchaga kuhusu mmachame....

Njoo wagogo na mengine ya dodoma walau kila kabila lina tabia njema na hufanya watanzania wote tuwe watu poa sana

Naishi nyumabi kwangu bado sina hakika na majirani juu ya ukabila wao, kujuana makabila hakuleti kutopendana, ingawa dalili za kikabila na kikanda zimekuwa zikijongea....katika ajira, nk...mleta uzi umetugusa sana baadhi nimeishi barani ulaya nikaona wazungu walivyo, ni wepesi pia kuona kati ya sis ngozi nyeusi nani mnyama na nani ana ubinadamu. Waganda baadhi kuna watu poa sana, Kenya Nooo Wasouth ni kama alivyosema msemaji hapo juu, kwa ujumla watu tuna vary, hatufanani lkn kwa Tanzania Tunaustaarabu na wala sio WOGA, SIO ELIMU WALA NINI nDIO TULIVYO.

Wazungu wanatuona namna tunavyohangaishwa na dini zetu wao waliowatangulia(mababu zao) wamewaachia miji na nchi zao katika hali tunavyoziona leo, na wamejengewa makanisa mengiii nk lkn I tell you kwa wale wasio jua unghaibuni, dini zipo huku kwetu....wazungu wengine wameachana na dini dini hizi, wengine wanaamini ubinadamu...watanzania wengi tuna ubinadamu sana.....

Viongozi waliotangulia wana michango kutufanya tuwe hivi tulivyo leo, heko kwa Nyerere, Wengine waliofauta wanauwezekano kututia watz katika tashira tofauti na jinsi tulivyo leo.

Maneno yao, Lugha yao katika mustakabali wa maisha yetu watoto na wajuu zetu , dhidi ya watoto wao na wajukuu zao watapelekea Tanzania iwe Tofauti sana

ASANTE SANA BARBAROSA kwa uzi safi
 
Back
Top Bottom