Kwanini Watanzania tuko tofauti na Waafrika wengine?

Sio wa tz wote, bado wapo ma arrogant, hasa watu wa bara, niliwahi kukaa bukoba kama mwezi mmoja hivi, wakijua tu sio wa nyumbani ushilikiano ni zero, lakini nili wanyoosha nilienda nao sawa na walinielewa

Minuz hayo unayosema yako kote kote.
Nakwenda sana Unguja Na Pemba Ni wabaguzi sanaaaaa tu.Mwisho tukaelewana.
Nadhani Ni hofu ya ugeni kila sehemu.Na kitu muhimu Ni Tabasamu maana hufungua milango iliyo fungwa.
 
nimeshangaa hujasema kuwa sisi ni waoga pengine kupita waafrika wote...
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia we kuja hapa, sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingene Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya Jamii!
Nachukia tabia ya Watz kula mavyakula ya ajabu ajabu kama mi-senene kule kwa wahaya, mi-ngisi na mi-kamba kochi ya baharini.
 
mbona mnacomplicate mambo, vyakula???? ni vitu vya-kula(literally) havifungamani na ustaarabu wako bali kiwango chako cha elimu(uelewa; si ya darasani) ndo vinachangia ustaarabu wako na hapa ndipo kwenye utata....usijichanganye na kufikiria kuwa mwenye uelewa mkubwa ndo mstaarabu pekee bali hata asiyenauelewa kabisa nae ni mstaarabu kwa kuwa hana "la kunena/kupinga" kama mwalimu unapokuwa darasani si kila mwanafunzi anaetulia nakutikisa kichwa kaelewa, ndivyo ilivyo kwa mtu MSTAARABU huwa yupo kwenye scale ya 1-10 either ni muelewa hivyo anatumia uelewa wake kustaarabika au hana kitu kichwani(retarded) mwambie lolote lile kwake ataitikia kama unavyotegemea aitikie these are the easy to manipulate type, sasa wale walio kati kwenye hiyo scale ndo unakuta "wabishi, wapogo tu" wenye kuwa na vurugu they act without thinking. Hivyo basi ni kweli watanzania tumestaaribika kwa kuwa "tupo vizuri kwenye scale" either nusu yetu ni 1 na nusu yetu ni 10 na wachache wapo kati. Usipime ustaarabu kwa vyakula wengine kwao hamna samaki kuna vyura tu unategemea wale nini? mwisho wa siku neno essence linaplay part yake aliyekula nyani kapata protini sawa/kuliko aliyekula samaki.[emoji111]
 
Ebu subiria comment za wengine
Panya je? Mikoa ya Rukwa ..Katavi ..Lindi na Mtwara ..panya ni kitoweo hadi funza wa kwenye magome ya miti aina ya miyombo ..Rukwa huwa ni kitoweo pia ..nyani mkoa wa Rukwa analiwa na kabila LA wanyika a.k.a kabila analotokea mbunge mstaafu ndg Mzindakaya ...tembea uone mkuu usifikiri kila unayoyaona mjini na vijijini ni hayo hayo..[/QUOTE]
"usifikiri kila unayoyaona mjini na vijijini ni hayohayo" Exactly!
 
Kwenye vyakula watanzania wanakula Nyani nenda ngoro ngoro pia kuna mnyama jamii ya Nyani anaitwa Kima analiwa na baadhi ya watu mkoa wa Kilimanjaro.

Mbwaa analiwa na baadhi ya watu mkoani Iringa.
Panya nenda Lindi, Mtwara analiwa vizuri tena ni kitoweo pendwa. Kuhusu ustarabu sio kweli watanzania tu matapeli na tunaishi kiujanja ujanja kwani life style yetu sio original ni ya kuiga tu kwa wazungu na mitandao ndio maana siku izi neno nakupenda halitumiki kama neno I love you.
Fake life kabisa let's be Real kama Dej Loaf anavyosema.
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia we kuja hapa, sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingene Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya Jamii!
Mimi niko sawa na Wafrika wengine
 
sio kweli ...sema asilimia kubwa wana IQ 20 ndio maana ...simply mentally retarded...including you

Kina Lizaboni wanakula Panya....kina Bishanga wanakula Panzi ..a.k.a senene....na wagogo wanakula Viwavi Jeshi....Pia wa singida wanakula Punda......

Hapa umepatia kabisa...hasa yule Mungu wenu ambaye mnamwabudu sasahivi...amewapandishia wananchi bei ya sukari kwa kukurupuka kwake na haombi msamaha.

Ni kwa sababu ya species za hovyo kama wewe

Tanzania yako Inasifika Duniani kwa mauaji ya Albino na imani za kishirrikina..sasa sijui unamaanisha paradiso ya kichawi au?

Watanzania zaidi ya 15 wameuawa kwa kuchinjwa ndani ya muda wa mwezi mmoja uliopita..hakuna aliyekamatwa na jeshi la polisi
Really? Gosh I'm "addicted" to the answers very insightful of you, Umempa Crashcourse ya ustaarabu wetu(Tz).
 
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani asiyekuwa na Akili? Hakuna binadamu mwenye IQ 20, IQ ya mwisho ya binadmu kuweza kureason inaanzia 70 na chini ya 70 ni taahira yaani yule anayehitaji msaada wakati wote hawezi kuongea vizuri amkee udenda unamdondoka n.k hata huyo hawezi kufikia 20, hata mtoto miaka sasa kama unakuja hapa na kusema kuna binadamu ana IQ 20 ina maana hata maana ya IQ hauijui hivyo ningekushauiri kwanza ujielimishe kabla ya kuanza kufikiria mambo mengine kwani utakuja kuabika huko mbele ni muhimu kwa maisha yako, kuweza kuonaisha vitu na kuelewa hasa vina maana gani, ni kama vile mtu akikwambia mita 6 anamaansiha nini na siyo kukariri tu namba kwamba miti 6 lkn ni lazima ujue mita 6 maana yake nini, ni muhimu kwa maisha yako ...
labda alikuwa sarcastic kuandika "IQ ya 20" to get to the point sometimes you don't need to mean everything you are saying.
 
Watanzania tumepewa kalma na Mungu ya kuwa watu wastaarabu ktk maisha yetu ya kila siku.. Interactions of makabila, huruma kwa raia mwenzake.. Mungu ilinde Tanzania yetu na Watanzania kwa ujumla
Hamna kalma wala nini makabila mengi ndo maana.
 
Ila ustaarabu ukizidi sana huzaa woga na kujipendekeza
 
Kilichosaidia sana yawezekana harakati pamoja na juhudi za .Nyerere kutawanya watu kutoka mkoa mmoja hadi mwingine na kwenda kuanza maisha huko ..mfano mtu anatolewa mwanza anakwenda songea au ruvuma na anakwenda kuanza maisha huko ilisaidia sana kuondoa ubaguzi kwa asilimia kubwa sana...na watu kujivunza ustaarabu. Japo huko mbeleni unaweza toweka .
 
Ming'oko safii sana... Binafsi naipenda sana japo si mzaliwa wa lindi[emoji39][emoji39][emoji39]
 
sio kweli ...sema asilimia kubwa wana IQ 20 ndio maana ...simply mentally retarded...including you

Kina Lizaboni wanakula Panya....kina Bishanga wanakula Panzi ..a.k.a senene....na wagogo wanakula Viwavi Jeshi....Pia wa singida wanakula Punda......

Hapa umepatia kabisa...hasa yule Mungu wenu ambaye mnamwabudu sasahivi...amewapandishia wananchi bei ya sukari kwa kukurupuka kwake na haombi msamaha.

Ni kwa sababu ya species za hovyo kama wewe

Tanzania yako Inasifika Duniani kwa mauaji ya Albino na imani za kishirrikina..sasa sijui unamaanisha paradiso ya kichawi au?

Watanzania zaidi ya 15 wameuawa kwa kuchinjwa ndani ya muda wa mwezi mmoja uliopita..hakuna aliyekamatwa na jeshi la polisi

Weye kweli TEJA aka addict
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia ,,we kuja hapa", sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingene Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya Jamii!

Watanzania ni Mazuzu, Waoga, Wasiojitambua, sifa pekee tulionayo ni Upendo tu! Hizo sijui Asante, Sorry n.k hata South Africa wanazo kuzidi Tanzania, utofauti wao hawana Upendo Kama sisi, South Africa mtu akipanda Daladala akishuka anapokwenda utamsikia "Thanks Driver!" Karibia kila mtu, nchi Kama Botswana, Namibia ni Wastaarabu na wenye maadili kuliko hata sisi!
 
Rudi ukafanye utafiti wako vizuri, kwani hata Watanzania wapo naoakula nyani, mbwa, panya nk.....

Alafu ukisikia nchi fulani wanakula mfano sokwe usifikiri kwamba ni watu wote wanakula sokwe na kwamba utakuta nyama ya sokwe butchani , bali ni jamii ndogo ndogo tu ambao ndio wanakula hizo unazoita vyakula vya ajabu, nikama wenzetu wale wanaokula mbwa hapa tz lakini sio kwamba eti watanzania wanakula mbwa,
Nadhani umeelewa
 
Watanzania ni Mazuzu, Waoga, Wasiojitambua, sifa pekee tulionayo ni Upendo tu! Hizo sijui Asante, Sorry n.k hata South Africa wanazo kuzidi Tanzania, utofauti wao hawana Upendo Kama sisi, South Africa mtu akipanda Daladala akishuka anapokwenda utamsikia "Thanks Driver!" Karibia kila mtu, nchi Kama Botswana, Namibia ni Wastaarabu na wenye maadili kuliko hata sisi!

Na hicho ndicho nilichomaanisha kama ukikuta mstaarabu basi anatumia ustaarabu wa Kizungu kama hivyo ulivyosema thanks driver sasa huwo ni Uzungu lkn kikwao sijui Xhosa hawezi kusema hivyo, hivyo ustaarabu ulioko huko ni wa Kizungu hata ukienda Kenya kwa mfano wale maelite wote ndiyo watakwambia kwa Kizungu lkn thank you, welcome again, sorry n.k lkn wale wasiojua Kizungu hawana hiyo misemo, Mkenya hata ukimwambia Heri ya Krismasi au Mwaka mpya hajui akujibu vipi, hana hiyo Misamiati labda sasa aseme Kizungu ...
 
Pia tunaongoza kwa uoga dunia nzima ndiyo maana tunapelekwapelekwa kama gari bovu
 
Back
Top Bottom