Kwanini Watanzania tuko tofauti na Waafrika wengine?

Tuweke mbali vyama kwa ufupi Tanzania yetu ni nzuri watu wake wastaarabu (sio wote) chakula chetu kizuri. Vyakula vya watu wa Congo au West Africa ni balaa au Sudan kusini. Chakula cha mafuta ya mawese mimi binafsi yananitia kinyaaa!
Nini maana ya ustaarabu ..kwn mmeanza kutuchanganyishia madawa
 
Yaani we jamaa zuzu kila idara. Umaana wa chakula unaurank kwa mazoea yako au sababu za mlaji kula anachokula? Hata Tanzania wewe huijui, unashoboka tu, tulia nikujuze:

Nyani - analiwa Ruvuma
Kima - analiwa Uchagani, tena wanaamini ni dawa
Panya - analiwa Umakondeni, huko anaitwa samaki n'changa
Fungo - analiwa Umakondeni

Kwa upande wa mizizi, Umakondeni kuna mizizi inaitwa Ming'oko

IMG_4697.jpg

Kama wadudu. Senene ni jamii ya Nzige inaliwa sana na Wahaya na hata mimi binafsi nakula Senene na Kumbikumbi.

scarab-beetle-larvae.jpg

Wandengereko kama sikosei na Wazaramo wanakula hawa manure beetle lava. Wanawatoa kwenye miti iliyokauka na kuoza.

We unashinda Lumumba kuhemea buku 7 halafu unakurupuka na utafiti hewa hapa! Ndio hivi hivi unakurupukaga na mambo mengine ya kisiasa unaishia kuonekana punguani. Sasa kwa taarifa yako, wazee wa kichaga ukiondoa kunywa damu ya wanyama, wanakula pia maini mabichi ya mbuzi.

We tulia Lumumba, mambo ya utafiti tuachie tulioizurura hii dunia. Ukitaka kutoa hoja labda iwe ya kuosha magari parking. Halafu kwa kukusaidia, PARADISO SUKARI IPO

Tatizo lako wewe siyo Intelligent man, kwa maana unashindwa hata kuoanisha mambo, mimi niko kwenye mambo mengine kabisa wewe unaleta Siasa tayari na kuanza kunihusisha na CCM, ni wapi nimeitaja CCM au Chama chochote kile cha Siasa? Au ulifikiri labda kusema TanZania ni nchi ya kistaarabu nilitaka kusema CCM ndiyo imeleta Ustaarabu? Man jaribu kuwa smart kidogo usiangalie kila kitu kwamba ni black and white kuna njia ya kati kati pia, na siyo kila kitu kinahusu u CCM au uukawa hii siyo mada ya kisiasa na ndiyo maana haiko kwenye eneo la Siasa, jifunze kuelewa mambo madogo kama haya yatakusaidia kwenye maisha yako pia kwamba maisha siyo black and white tu!
 
Kwenye vyakula watanzania wanakula Nyani nenda ngoro ngoro pia kuna mnyama jamii ya Nyani anaitwa Kima analiwa na baadhi ya watu mkoa wa Kilimanjaro.

Mbwaa analiwa na baadhi ya watu mkoani Iringa.
Panya nenda Lindi, Mtwara analiwa vizuri tena ni kitoweo pendwa. Kuhusu ustarabu sio kweli watanzania tu matapeli na tunaishi kiujanja ujanja kwani life style yetu sio original ni ya kuiga tu kwa wazungu na mitandao ndio maana siku izi neno nakupenda halitumiki kama neno I love you.
Umetisha mkuu
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia we kuja hapa, sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingene Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

Katika Africa wewe umetembea nchi ngapi? kuweza kufikia hilo hitimisho.
 
Panya je? Mikoa ya Rukwa ..Katavi ..Lindi na Mtwara ..panya ni kitoweo hadi funza wa kwenye magome ya miti aina ya miyombo ..Rukwa huwa ni kitoweo pia ..nyani mkoa wa Rukwa analiwa na kabila LA wanyika a.k.a kabila analotokea mbunge mstaafu ndg Mzindakaya ...tembea uone mkuu usifikiri kila unayoyaona mjini na vijijini ni hayo hayo..
Ukitaka kuthibitisha upeo wetu finyu wa kufikiri basi moja wapo ni hii mada. Eti ulaji wa vyakula napo ni ustaarabu?[/QUOTE]
Vp mkuu punguza ukali...
 
Katika Africa wewe umetembea nchi ngapi? kuweza kufikia hilo hitimisho.

AM nimefika Kameruni na Nigeria, Kusini nimefika Namibia, AK na vile vile nimefika Kongo hiyo inatosha kukamilisha ninachokiamini na kote huko sijakuta ustaarabu kama tulio nao hapa kwetu, watu wa huko hawajui hata kusema asante au karibu au samahani kama akikusosea, na kingine pia uhalifu, watu wa huko wana uhalifu mkubwa sana mtu kupigwa risasi au kuchomwa kisu ni kawaida, kwa mfano AK kusikia mtoto amebakwa na kundi la watu ni hali ya kawaida mpaka imezoeleka, hapa TZ full ustaarabu wasichana wanatembea hata usiku full Amani ingawaje ndiyo kuna matukio ya hapa na pale lkn kwa ujumla wake kwetu tu wastaraabu sana!!
 
Yaani we jamaa zuzu kila idara. Umaana wa chakula unaurank kwa mazoea yako au sababu za mlaji kula anachokula? Hata Tanzania wewe huijui, unashoboka tu, tulia nikujuze:

Nyani - analiwa Ruvuma
Kima - analiwa Uchagani, tena wanaamini ni dawa
Panya - analiwa Umakondeni, huko anaitwa samaki n'changa
Fungo - analiwa Umakondeni

Kwa upande wa mizizi, Umakondeni kuna mizizi inaitwa Ming'oko

IMG_4697.jpg

Kama wadudu. Senene ni jamii ya Nzige inaliwa sana na Wahaya na hata mimi binafsi nakula Senene na Kumbikumbi.

scarab-beetle-larvae.jpg

Wandengereko kama sikosei na Wazaramo wanakula hawa manure beetle lava. Wanawatoa kwenye miti iliyokauka na kuoza.

We unashinda Lumumba kuhemea buku 7 halafu unakurupuka na utafiti hewa hapa! Ndio hivi hivi unakurupukaga na mambo mengine ya kisiasa unaishia kuonekana punguani. Sasa kwa taarifa yako, wazee wa kichaga ukiondoa kunywa damu ya wanyama, wanakula pia maini mabichi ya mbuzi.

We tulia Lumumba, mambo ya utafiti tuachie tulioizurura hii dunia. Ukitaka kutoa hoja labda iwe ya kuosha magari parking. Halafu kwa kukusaidia, PARADISO SUKARI IPO
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu hao wanaoliwa na wazaramo sio hawa kwenye picha bana, hawa ulioweka wanatoka kwenye matope, ila hao pia wanafanana sana na hawa.

Mara ya kwanza nawaona watu wanakula sikuwaelewa maana nilikuwa nimeenda kimaisha tu, halafu wengine wanatafuna wabichi.

Nilipokuja kuonja ilikuwa balaa.
 
Kwenye vyakula watanzania wanakula Nyani nenda ngoro ngoro pia kuna mnyama jamii ya Nyani anaitwa Kima analiwa na baadhi ya watu mkoa wa Kilimanjaro.

Mbwaa analiwa na baadhi ya watu mkoani Iringa.
Panya nenda Lindi, Mtwara analiwa vizuri tena ni kitoweo pendwa. Kuhusu ustarabu sio kweli watanzania tu matapeli na tunaishi kiujanja ujanja kwani life style yetu sio original ni ya kuiga tu kwa wazungu na mitandao ndio maana siku izi neno nakupenda halitumiki kama neno I love you.

Mkuu hiyo mikoa ya kusini hawali Panya Ni pimbi jamii ya sungura.Kima sio nyani.
Kuinga Ni ustaarabu.Hivi Weye unavaa mavazi ya kijijini kwenu?Ukweli Ni Ukweli tu WaTanzania Ni werevu kuliko wengi tu
 
Hili nimeliona kwamba sisi tuko tofauti sana na Waafrika wa nchi nyingine kitabia, sisi tumestaarabika sana ikilinganishwa na Waafrika wa nchi nyingine na hapa naongelea Waafrika weusi tuishio Kusini mwa Sahara!

Na hili utaliona karibia kila mahali kwamba tunawazidi Waafrika wengine sana kuanzia kwenye ustaarabu, vyakula tunavyokula, ni sisi Watanzani pekee ndiyo tunaokula vyakula vya maana yaani hatuli vyakula vya ajabu ajabu kama Waafrika wengine kwa mfano Kongo wanakula Nyani na Sokwe kwetu hatuli, ukienda Afrika Magharibi kuanzia Kameruni mpaka Nigeria huko wanakula Kono kono, Mende, miti shamba na mizizi ya ajabu ajabu kwetu hatuli wanyama wa ajabu ajabu Tanzania tunakula nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kuku, Kondoo baadhi Nguruwe, samaki lkn pia siyo wa aina zote kuna Samaki wengine Watanzania hatuli na tunachagua!

Ukija kwenye swala tu la maisha ya kila siku, Waafrika wengi hawawezi kusema tafadhali, asante, samahani, nakupenda, uniwie radhi, kwa heri ya kuonana, maneno ya kistaarabu kama haya hawana kwenye Misamiati yao kwa mfano ukienda Kenya ni kawaida mtu hata asiyekujua kukwambia we kuja hapa, sasa Mtanzania hawezi kusema hivi bali tutasema kistaarabu na kiheshima samahani nakuomba uje, sasa ni kwa nini tuko tofauti na Waafrika wengine?

Utaona hata mambo ya uhalifu ingawaje ni kweli kwamba tuna uhalifu Tanzania lkn ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika Tanzania yetu ni Paradiso, kuna nyumba nyingi sana Tz wala walinzi hazina na watu wanalala usingizi lkn nchi nyingine hili haliwekani, mimi huwa natembea mpaka saa kumi Alfajiri na poa kabisa sijawahi kutishiwa wala kukabwa, huko kwingene Uhalifu ndiyo nyumbani...

Yaani sisi tumestaarabika zaidi klk Waafrika wengine wote niwajuwao, na hili hata sehemu zilizoendela kama AK nimefika huko Waafrika wa huko hawana ustaarabu kama wetu, Je kuna sababu maalumu kwamba sisi tuko tofauti na wao?
au imeandikwa kwenye vitabu vya Dini labda tumetabiriwa ...

*Ustaraabu wetu haujaletwa na CCM wala Chama chochote cha Siasa, hivyo sisemi kwamba sisi ni Wastaarabu kwa sababu ya CCM na isitoshe Mada haihusu Siasa bali ni mambo ya Jamii!
Sasa hiyo CCM ni wapi na wapi na mada yako????????? Hukuwa na sababu yoyote ile ya kumalizia hivyo kwani hakuna aliyekuambia kuwa CCM ndiyo imeleta ustaarabu au unataka kuchafua hali ya hewa????????
 
Watanzania tumepewa kalma na Mungu ya kuwa watu wastaarabu ktk maisha yetu ya kila siku.. Interactions of makabila, huruma kwa raia mwenzake.. Mungu ilinde Tanzania yetu na Watanzania kwa ujumla
 
Sasa hiyo CCM ni wapi na wapi na mada yako????????? Hukuwa na sababu yoyote ile ya kumalizia hivyo kwani hakuna aliyekuambia kuwa CCM ndiyo imeleta ustaarabu au unataka kuchafua hali ya hewa????????

Duh! haya maisha ni magumu sana, ukifanya hivi tabu ukifanya vile lawama! Ni hivi mwanzoni kabisa niliandika bila kuitaja CCM wala chama cha Siasa mahali popote pale, lakini nikawa natukanwa na kujibiwa kwamba niende Lumumba na baadhi ya watu walielewa kama vile naihusisha CCM na ustaarabu wetu ndiyo maana ili kuondoa huwo mkanganyiko na kuwatoa watu kwenye Siasa nikaamua kutoa kama angalizo na kuandika nilivyoandika sasa na wewe unakuja tena unanilaumu kwa hicho hicho sasa nifanye nini?
 
Watoto hufanana na baba yao, Baba wa Taifa letu ametuachia sura yake. Shida ya watanzania wengi ni ufahamu mdogo wa mambo. Tukiweza kushinda hili tutakuwa wa ajabu zaidi.
 
Duh! haya maisha ni magumu sana, ukifanya hivi tabu ukifanya vile lawama! Ni hivi mwanzoni kabisa niliandika bila kuitaja CCM wala chama cha Siasa mahali popote pale, lakini nikawa natukanwa na kujibiwa kwamba niende Lumumba na baadhi ya watu walielewa kama vile naihusisha CCM na ustaarabu wetu ndiyo maana ili kuondoa huwo mkanganyiko na kuwatoa watu kwenye Siasa nikaamua kutoa kama angalizo na kuandika nilivyoandika sasa na wewe unakuja tena unanilaumu kwa hicho hicho sasa nifanye nini?
Sasa nimekuelewa. Unajua humu ndani kuna watu na watu [nadhani umenielewa] Huna haja ya kufurahisha waja wewe andika yale ambayo unaona yana mantiki kwani hata wakikubeza kwa vile maandishi yapo basi kuna wajao watakaopitia na kupata kitu ambacho wengine hawakukiona.
 
Ustaarabu wetu untokana na misingi ya utu na ubinadamu tuliyowekewa na Raisi wetu wa kwanza Nyerere. Nchi nyingine za Afrika kutokana na aina ya viongozi wao walipopata uhuru, iliwafanya watoke kabisa kwenye kuwa wastaarabu.

Angalia Afrika Kusini kwa mfano; athari za mambo waliyopitia zinafanya wawe kama wanyama wakali wa mwituni. Ila kuna exceptions kama Botswana, Namibia. Nao ni wastaarabu sana, na pia unaweza kuihusianisha na viongozi wao kama kina Seletsi Khama na Sam Nujoma.

Tanzania tunapendana na kuheshimiana by default - Nyerere aliongezea kuimarisha umoja watu.
 
Sawa tumejaliwa ustaarabu ila wapo baadhi yetu ving'ang'anizi wa madaraka wanasukuma watanzania hususan wanzanzibari siko(Pemba kielelezo tosha)
 
Sio wa tz wote, bado wapo ma arrogant, hasa watu wa bara, niliwahi kukaa bukoba kama mwezi mmoja hivi, wakijua tu sio wa nyumbani ushilikiano ni zero, lakini nili wanyoosha nilienda nao sawa na walinielewa
 
Back
Top Bottom