Kwanini watanzania ni wepesi wa kusahau matamshi ya viongozi wao

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Kwa muda mwingi huko nyuma Mzee yousufu bin makamba (katibu Mkuu wa CCM )alikuwa anawaeleza waTZ kuwa ukitaka Biashara yako yende vizuri ujiunge na CCM ,kwa manaa hiyo alikuwa anaelewa nini kinaendelea ndani ya chama na serekali kuhusiana na uchotaji wa pesa na kuwashirikisha wafanya Biashara waliokuwa tayari kunakamisha uchumi wa nchi.
 
Last edited:
Na hasa Makamba mwenyewe elimu yake ni ndogo ndio sababu usema na kufanya mambo ambayo ni questionable hata kwa mtoto wa primary school.
Si kwamba huwa tunasahau. Wanufaika wa wizi wa pesa na mali za wadanganyika ndio huwa wanasahau kwa raha walizonazo lakini sisi huwa tunakumbuka.
 
Back
Top Bottom