ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda
Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno
Hapa kwetu Tanzania tumeonekana hata kufika watu 10, 000 kwenye uwanja wa kubwa watu 64, 000 hatuwezi
Sababu zinaweza kuwa zifuatazo
1. Siasa, wapambe na viongozi wamekuwa waki dedicate ushindi wa Taifa stars Kwa viongozi wa Kisiasa, ambaye haungwi mkono na watu wengi
2. Dhulumat na uhuni pale TFF
Tumeona Rais Karia akijitengenezea mazingira ya kushindwa bila kuwaruhusu wengine kugombea. Hili linagawa watu wengi
3. Hamasa ndogo Kwa wachezaji.
4. Kuitwa Kwa kikosi Kwa vi memo.
Tumeona timu ya taifa imejaza Wazanzibar wengi, kwakuwa coach ni Mzanzibar na kuwaacha wachezaji wengi kutoka Tanganyika kama Chikola, Mtasingwa, Mgunda n.k
5. Hali ngumu kiuchumi
6. Siasa za upande mmoja yaani CCM