Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Maboboto na masunga yeeeeeee niyo giki kiti nashika kaya gete
 

Uzuri una tafsiri nyingi!
 
Waambie ndugu zako wasukuma na wote wanaopenda wanawake weupe kwamba...siku hizi mwanamke mweupe ana angaliwa miguuni si usoni tena!
 
Ntuzu miss neddy na Mshinga..kipindi kile miss tz hapiness magese alivotwaa taji,alifanyaga ziara mikoani..sasa alivofika mwanza alitembelea maeneo mbalimbali...abhagosha abhasukuma angu bhalina tuja,walitegemea anakuja miss mweupe nginu gete ..sasa aho oshika u hepi..abha jinja she bha mwaloni bhayumela

''agaya,abha swahili bhalinatuja shi,bhatatangagije aliza miss,miss..duhaya aliza ng'wanike opee ngololoku shiza,aliyo bhadenhela miss ke..miss ke ng'wenuyu adeni dako''

kwa hiyo Mshinga weupe nele dako ni added advantage usukumani..lol
 
Last edited by a moderator:
yawezekana mi cjui kuchagua eh manake siuoni uzur wwte kwa hyo picha uliyoweka yan kawaida sn

Anazungumzia uzuri wa rangi ndg.
 
Waambie ndugu zako wasukuma na wote wanaopenda wanawake weupe kwamba...siku hizi mwanamke mweupe ana angaliwa miguuni si usoni tena!


Uzuri Wa mwanamke uko usoni sio miguuni!

Tunaangalia USO tu! USO ukiwa unawaka basi km taa basi ng'ombe Lazima zitoke !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…