Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

Mhhhhh acha zako mtoa thread mbona wasukuma hixo mambo zilikua za kizamani Sana,siku hizi ni mahali ya kawaida and si demu mweupe alone kila aina unachukua kifaa


Labda mwanangu wewe Msukuma Wa Masaki, Lkn mie Wa gamboshi Lazima ntafute kipusa cheupe na ng'ombe mpk 100 zinatoka kwa Mahali!

Cc Mentor
 
Last edited by a moderator:
ILOMBOYE olo otola nkima wope gete, ndoho okobacha etala eboziko! Yani nkima ng'wene akayobaka gete tala Wei doh! Neyo nakowele amang'ombe Lazima gaje minge sn

kwa heshima ya Mshinga naomba tusiongeee kilugaa atahisi tunamteta jamaniii
 
Last edited by a moderator:
Labda mwanangu wewe Msukuma Wa Masaki, Lkn mie Wa gamboshi Lazima ntafute kipusa cheupe na ng'ombe mpk 100 zinatoka kwa Mahali!

Cc Mentor

Ni msukuma wa wapi ctl anapenda kuoa mwanamke mweupu just niambie tu
 
Last edited by a moderator:
yawezekana mi cjui kuchagua eh manake siuoni uzur wwte kwa hyo picha uliyoweka yan kawaida sn
Nywele HAkaNA tatizo la Mshinga huenda ni Msukuma
sasa angekuwa WHITE nywele za kumwagika mgongoni
Je angekuwa ni MMANGA wa Maganzo au Tabora au wa Kirangi nywele zake si ungekimbia
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu ndo nini kujishusha ivo,na weupe wote huo kweeli?..ngoja niwatonye wajomba,minimum ng'pmbe 60..alaaa
haya mimi niko pembeni hapa
Mshinga akirudi ng'ombe wasipungue hamsini mkimuonea sana huruma isiwe chini ya 30
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…