Kwanini wasichana/wanawake wengi upenda kubeba mikoba mikubwa kila siku, mahali popote ?

hahahahahaha....mkuu hii ni kali...genereta?? sipati picha alikuwa anatembeaje begani kukiwa na kitu kizito vile..wengine huwa wanabeba hot pots...usiniulize ni za kazi gani..wao wanajua

Hili jambo la kubeba mikoba mikubwa hasa kwa jinsia ya kike linanitatiza kila mara.

Nilipata story moja toka kwa rafiki yangu kwamba g/f wake alimtembelea siku
moja akiwa na mkoba mkubwa sana, wakati wanaangalia movie umeme
ukakatika ghafla, rafiki yangu hakuwa na generator, ghafla demu wake
alifungua mkoba wake na akaibuka na generator ndogo aina ya Tiger ambayo ilifungwa
muda ule ule na movie ikaendelea kama kawa. Just imagine mikoba hii vitu inavyobeba!!

wana JF naomba uzoefu wenu kuhusu jambo hili.
 
Jamani wana JF msishangae sana kuhusu hawa viumbe wenzetu, dada zetu, mama zetu, shangazi zetu n.k.

Mwaka jana mwanzoni nilikwenda kikazi nchi moja jirani, na nilikumbana na kisa kimoja kinachohusu hii mikoba mikubwa
ya kike. Siku moja, wakati nakaribia kuingia benki moja ktk nchi ile, dada mmoja alikuwa hatua chache mbele yangu naye akielekea benki ile ile.
Alipojaribu kufungua mlango ili aingie ndani, mlango wa benki uligoma. Mimi pamoja na polisi waliokuwa pale kwa shughuli za ulinzi, tulijaribu
kumsaidia dada yule bila mafanikio! Polisi mmoja alimuuliza dada yule kama kuna kitu chochote chenye asili ya chuma ndani ya ule mkoba mkubwa, yule dada alijibu kwamba kuna simu ya mkononi aina ya Blackberry yenye housing ya madini ya chuma, kisha polisi yule alimwambia dada yule kuwa atoe simu ile kwa kuwa pale benki kuna mitambo maalumu ya kutambua vifaa vya chuma kwa ajili ya usalama wa benki. Wakati dada yule anafungua koba lake kubwa, bahati mbaya vitu vyote vilimwagika chini.Tulichokiona tulishangaa sana!! ktk mkoba ule kulikuwa na:
pocket dictionary, pain pills, vitamin pills, sunsceen, flashdrive, a small LED flashlight, hairbrush, USB cord, floss sticks,
hanky, novel, perfume, stain remover, stapler ndogo, kijiko, uma, facial make ups, nguo, diaper, always, pea moja ya viatu,
toothbrush, handkerchief, taulo ndogo, school handouts pamoja na mahindi mawili ya kuchoma na makorokoro mengine ya kike ambayo nilishindwa kufahamu ni nini!!
Polisi walijaribu kumtupia maswali kadhaa na alidai kuwa ni mwanafunzi wa chuo kimoja mita chache toka ktk benki ile. Alipoulizwa kisa cha kubeba vifaa vile kwa wakati mmoja kuwa labda ana safari, ndefu, alikataa kuwa hana safari yoyote na hilo ni jambo la kawaida kwa jinsia yake. Niliingia ndani ya benki kilichoendelea sijuhi.

 
Mi nadhani sababu ni tau,ya kwanza fasheni na ya pili ni vitu ambavyo hubeba kwenye mikoba vitu kama kioo,lipstick,mawanja,pedi,tissue,chupi s unajua inabidi angalau wabadilishe nguo za ndani atleast after five hours,na yatu ni usalama kwani wanawake huweka hela kwenye vimikoba vidogo ambavyo huviweka ndani ya mikoba mikubwa(mkoba ndani ya mkoba)
 
mkuu, usishangae kuhusu generator kubebwa ktk handbag za kike!
siku hizi kuna small sized portable single phase generator with 5kVA capacity.
 
hili jambo la kubeba mikoba mikubwa hasa kwa jinsia ya kike linanitatiza kila mara.

Nilipata story moja toka kwa rafiki yangu kwamba g/f wake alimtembelea siku
moja akiwa na mkoba mkubwa sana, wakati wanaangalia movie umeme
ukakatika ghafla, rafiki yangu hakuwa na generator, ghafla demu wake
alifungua mkoba wake na akaibuka na generator ndogo aina ya tiger ambayo ilifungwa
muda ule ule na movie ikaendelea kama kawa. Just imagine mikoba hii vitu inavyobeba!!

Wana jf naomba uzoefu wenu kuhusu jambo hili.

lmao!!
 
Pengine alimaanisha VIAGRA baada ya umeme kukatika kwa jamaa yake? Umeme ukarudi na movie ikaendelea
 
Kuna Dem mmoja nakumbuka wakati tupo chuo nilipata kumuuliza kuhusu hili, yeye alinijibu binafsi hawezi tembea bila hicho kibegi coz kinampa balance na ana kuwa na much confidence. Ila hili la jenereta mkuu kiboko, nadhani mademu wa kwa kina muraaa watakuwa wanaweka mashoka na mapanga kabisa
 
mkuu kwamba kubeba mikoba mikubwa inawapa balance wanawake ni kweli b'se wanawake by nature wana a lower centre of gravity, ni rahisi kwao ku-topple; hivyo mizigo mizito inawapa balance.
 
Hamna banaa! Mafashionista tu wanatuchezea akili zetu! Wakianza kutengeneza vibegi vidogo mtatuona tutakavyohangaika navyo!
 
96 pamoja na mikorokoro yote wanayobeba hawa wa2 yote 9, 10 kioo! Mnyime akose vyote lkn sio kioo! M'beijing na kioo ni km samaki na maji! Ht mkiwa kwny jam mnasubiri taa/trafick kuruhusiwa atakua anajivinjari na drive mirror, wanawake kibao madereva hustuliwa na honi waondoe gari hawana hbr km trafick kesharuhusu 7bu alikua anahuisha lipstick! Nyie wadada hamjiamini kw nini? Sie vya mbegu hua twapenda punda sio mlio!
 
Ni mazagazaga ya urembo na mambo yao ya NASA si unajua mda wowote wakipata mshtuko anaweza akachukua jet akaruka mwezini so inakua rahisi kwake coz anavifaa vyote kukabiliana na hali ya kule....Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom