Vinci
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 2,638
- 668
hahahahahaha....mkuu hii ni kali...genereta?? sipati picha alikuwa anatembeaje begani kukiwa na kitu kizito vile..wengine huwa wanabeba hot pots...usiniulize ni za kazi gani..wao wanajua
Hili jambo la kubeba mikoba mikubwa hasa kwa jinsia ya kike linanitatiza kila mara.
Nilipata story moja toka kwa rafiki yangu kwamba g/f wake alimtembelea siku
moja akiwa na mkoba mkubwa sana, wakati wanaangalia movie umeme
ukakatika ghafla, rafiki yangu hakuwa na generator, ghafla demu wake
alifungua mkoba wake na akaibuka na generator ndogo aina ya Tiger ambayo ilifungwa
muda ule ule na movie ikaendelea kama kawa. Just imagine mikoba hii vitu inavyobeba!!
wana JF naomba uzoefu wenu kuhusu jambo hili.