Kwanini wasichana/wanawake wengi upenda kubeba mikoba mikubwa kila siku, mahali popote ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wasichana/wanawake wengi upenda kubeba mikoba mikubwa kila siku, mahali popote ?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by patience96, Oct 27, 2011.

 1. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hili jambo la kubeba mikoba mikubwa hasa kwa jinsia ya kike linanitatiza kila mara.

  Nilipata story moja toka kwa rafiki yangu kwamba g/f wake alimtembelea siku
  moja akiwa na mkoba mkubwa sana, wakati wanaangalia movie umeme
  ukakatika ghafla, rafiki yangu hakuwa na generator, ghafla demu wake
  alifungua mkoba wake na akaibuka na generator ndogo aina ya Tiger ambayo ilifungwa
  muda ule ule na movie ikaendelea kama kawa. Just imagine mikoba hii vitu inavyobeba!!

  wana JF naomba uzoefu wenu kuhusu jambo hili.
   
 2. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  genetor? Ndan ya mkoba duu! Hii kal ila inawezekana mana inakuwa mikubwa na mizito hyo mpk bas
   
 3. S

  Senator p JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uyo dem hapishan na dem wangu ,wngu anatemabea kwenye mkoba kaweka jembe,anapenda kulima!
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa nakumbuka wanavoniminya na makoba yao pale mwenge wakati tunagombea kupanda daladala
   
 5. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,301
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hiyo ni kali.
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ukipata demu utajua tu.! Subiri wakati.
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Demu wako msukuma nn?? Kama vp mtafutie kamkoba kakuenea powertiller kabisa.
   
 8. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  na wanabebe mimba miezi tisa ,mwanaume kuubeba mtoto kwa lisaa ni kero na kulalamika .
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wengine ni wezi
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mzee kubeba generator kwenye pochi inanipa shida sana kama GT wa JF kukubaliana na hilo. Ila nakubali kuwa wadada hubeba mikoba mikubwa na kuweka vitu kama vioo, tissue, lipstick, perfume, mafuta, na vipodozi! nafikiri ni kariba yao, I mean ni hulka yao na ni jambo la kawaida.
   
 11. m

  mutabutu Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Xa we ulitaka 2cheke au 2jue kuwa kwenye mikoba wanaweka nn?me hata cjacheka.
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  duuuuuh!
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  kweli kila mtuu na aina yake ya ukichaa, duuuuuuuuuh!
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo atakuwa mke wa James Bond
   
 15. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Du! Kaaaaaaaz kwel kweli
   
 16. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wacha urongo,generator?
   
 17. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Nini cha kushangaza? Mwanamke ni kila kitu, akiwapo mwanamke hakiharibiki kitu, si unaona hata umeme ulipokatika, bado mliweza kuangalia tv. Mimi binafsi beg langu lina kila kitu, hadi mashine za kunyolea.
   
 18. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  generator ndani ya mkoba....!?
   
 19. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haiwezekani, labda alitoka kuinunua
   
 20. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni muhimu kuwa na mkoba kubwa tunavitu vingi vya kubeba
   
Loading...