kwanini wasichana wako hivi?

Nina gf wangu, tangu anaingia advance level,anafanya mtihani mpaka mda wa

kusubiri matokeo alikua ni mtu mwenye nyodo sana, (offcourse mi nafanya kazi

lakini si yenye kipato kikubwa saaaaaaaaaaaaaaaaaana) ,sasa baada ya

matokeo akawa ameferi,yaani amepata matokeo ambayo ayawezi kumfikisha

chuo, sasa naona upendo umezidi kupita kiasi mpaka naona kero,maana kira saa

atataka muwasiliane na vitu vingine vingi tu. mi nafkiri huu unaweza ukawa

mfano wa utata ambao mkuu wangu anawasilisha KWA WANA JF, sasa mnasemaje kwa kesi kama hii?

katika kipindi hiki kigumu kwake, kafeli mtihani bila kutarajia, anahtaj mtu wa kumfariji nawe ulitakiwa uwe close kumtia moyo bt inaonekana kama umefurahia hii?
 
HE HE HEE,KAMALIZIE KWANZA KUVAA VIZURI KISHA URUDI HAPA MAANA INAONEKANA KAMA UMETOKA KUKOJOA KISHA UKAJA KULOG IN HAPA YUPO FIDEL80 NA MASANILO NGOJA WAKUONE.

:smile-big: YAANI WEWE HUCHELEWI HATA MIMI NASHANGAA

aaah shem yaani kwa nini niumize kichwa kutafuta jibu....may be she z still dressing up....mmh may be alikuwa anavua aingie bafuni....aaaaaaaaaah may be nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi!!!! si niulize tu mwenyewe aniambie!!!
 
katika kipindi hiki kigumu kwake, kafeli mtihani bila kutarajia, anahtaj mtu wa kumfariji nawe ulitakiwa uwe close kumtia moyo bt inaonekana kama umefurahia hii?

huyu mwanaume bwana!!!!

inaonekana hamwamini demu wake in the first place, anaona kama anamchuna dizaini!!!

hivi kweli mtu ulikuwa matarajio fulani ghafla bin vuu umezunguka, unategemea kweli akuoneshe the same face she wore yesterday???????
 
aaah shem yaani kwa nini niumize kichwa kutafuta jibu....may be she z still dressing up....mmh may be alikuwa anavua aingie bafuni....aaaaaaaaaah may be nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi!!!! si niulize tu mwenyewe aniambie!!!
teh teh naona hapo hujakosea,subiri waje wazee wa mzuka watamtuliza,wapi fidel&masa mnahitajika hapa mumkaribishe mugeni.
 
huyu mwanaume bwana!!!!

inaonekana hamwamini demu wake in the first place, anaona kama anamchuna dizaini!!!

hivi kweli mtu ulikuwa matarajio fulani ghafla bin vuu umezunguka, unategemea kweli akuoneshe the same face she wore yesterday???????

yani nimeskia hasira kwa mbaaaaali, imgn nilitegemea aseme nimejitahd kumfariji... eti amemganda! inawezekana c kwamba likua na nyodo enzi hzo masomo yalimbana na hakutaka kupoteza muda, ampe nafasi sasa eti!
 
Kweli na ukilizwa mazima hapa unalalamika? Ulalamike nini wakati hujiamini kiasi hiki!?
 
unfortunately this applies both to men and women!!

wanaume watawaongelea wanawake kwa kuwa wanauzoefu nao na wanawake tutawaongelea wanaume kwa kuwa pia tuna experience na nyie!!!

Hivi wanawake wangapi watakubali kuolewa (ama kuwa na mahusiano) na wanaume walio chini yao kimapato?
 
yani nimeskia hasira kwa mbaaaaali, imgn nilitegemea aseme nimejitahd kumfariji... eti amemganda! inawezekana c kwamba likua na nyodo enzi hzo masomo yalimbana na hakutaka kupoteza muda, ampe nafasi sasa eti!

kama alikuwa ana nyondo wa nini anaye mapaka leo?? was he not supposed tp disqulify her before??

Kwlei na ukilizwa mazima hapa unalalamika? Ulalamike nini wakati hujiamini kiasi hiki!?

hawa ndo wale wale ''nahisi naibiwa.....hana uhakika'' he starts nagging afu unachapa mwendo kiaina nyambafu..............
 
Hivi wanawake wangapi watakubali kuolewa (ama kuwa na mahusiano) na wanaume walio chini yao kimapato?

mimi nakubali!! pesa kitu gani mpwazz!!! tutatafuta tu pamoja!!! mie bana 'aliyenizidi kipato' si mojawapo ya vigezo vyangu vya kumatafuta mwenza wa maisha!!!

ila kesho usishangae huyu huyu akifanikiwa na yeye analeta ndefu..................
 
sitaki kuamini ndoa zote ulizoziona,mwanaume ndiye mwenye kipato zaidi...

na kama una mtazamo wa kuchunwa chunwa hutaoa weye!
 
why not trusting a person till he/she gives u a reason not to trust her/him................
 
mimi nakubali!! pesa kitu gani mpwazz!!! tutatafuta tu pamoja!!! mie bana 'aliyenizidi kipato' si mojawapo ya vigezo vyangu vya kumatafuta mwenza wa maisha!!!

ila kesho usishangae huyu huyu akifanikiwa na yeye analeta ndefu..................

sitaki kuamini ndoa zote ulizoziona,mwanaume ndiye mwenye kipato zaidi...

na kama una mtazamo wa kuchunwa chunwa hutaoa weye!

Roselyne1: Its just a general case but there are specific cases that the vice verse holds.
Mkianza mkiwa sawa its fine and everything remains fine until the woman see the man useless!
And may that a challenge to a man to try harder.....
 
Ah wapi wanaume huwa hawabariki namna hiyo wao wapo tayari kusaidia mpaka mwisho tena bila kuongea neno lolote lakini siku mwanamke akitoa yake bana, jirani wote watajua kama leo Blandina kanunua LUKU nyumbani kwao, mi sikuwahi kuona mwanamke akawa anaiendesha familia kwa hali na mali akitoa mchango mkubwa halafu asiongee neno, tena balaa linaweza kukukumba vibaya haswa mkitofautiana kidogo atablast kila kitu anafanya yeye wewe yako suruali tu hapo kaka. Lakiini hatuna budi kuwakubali kwani ndio mama zetu hawa.
 
Back
Top Bottom