Kite kya warumuHapana nawapa msosi spesho kabisa. Na mara mojamoja naenda kununua dukani nyamamifupa... sasa hili kite linaacha kutafuna mifupa na wenzie linakimbilia papai. Nataka niliue lisije likaanza tabia za kishoga...
Afu nililinua kwa hela ndefu sana keimamae... bora nibaki na hivi vimbwa mwitu vyangu...
Ukinipa jibu la kwanini wanyama hawaongei, mf. Wakina mbwa wanabweka, nami ntakuambia kwanini hawali matunda!Nina swali japo sio la msingi Sana kwanini Kama matunda Ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
Hao obdivore mbona siwajui. Omnivores ndio wanyama wanaokula both plants and meat mfano binadamu, mbwa, nyani. Ndio maana unaweza mkuta mbwa anakula majaniItakuwa wewe ni mdogo Sana kuna wanyama wala nyama wanaitwa carnivore, pia kuna wanyama wala majani herbivores, pia kuna wanyama wala kila kitu obdivore ingawa kwa wanyama wa kufugwa Kama mbwa na paka inategemea na ulivomzoesha akiwa mdogo pia Hawa wanyama wanatofautiana mfumo wa mmeng'enyo
Wakizaa naomba kitoto kiomojaMbwa wangu wanakula mpaka crips sembuse matunda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesahau mwanjerwa mbeya Yule mbwa aliekimbia na kitita Cha milioni mbili za VICOBA
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1544]Mbona mbwa wangu popi anapiga matunda kama kawa tena huwa anamenya mwenyewe
Asante Sana,umejibu kisomiHao mbwa sijui paka n.k ni carnivores ambao diet yao ni nyama. Mfumo wao wa umengenyaji chakula ni tofauti na wa herbivores na omnivores.
Utumbo wao mdogo sio mrefu kama wa hao wengine hivyo absorption ya nutrients inatakiwa kuwa ya haraka na vyakula kama matunda na mboga mboga vinachukua muda mrefu kuwa digested hivyo haviwafai.
Ingawa wanaweza kula baadhi ya vegetables ila ni adaptation tu ya mazingira husika kutokana na sababu mbalimbali kama scarcity ya chakula (nyama).
Hata wangu😅 anakula kuanzia nyanya mbichi mpaka mihogo mibichiNyau wangu anakula chochote nachokula Mimi,sijajua kwa wengine.
Hahaaaa na wanajua kuzaa bwana. Mbwa anakula mpaka half cake. Yani mbwa ni vile utaishi naye tu. Na ni walinzi wazuri sana. Ile mbegu nliipata ni amazing [emoji1]Wakizaa naomba kitoto kiomoja
[emoji28][emoji28][emoji28]Hahaaaa na wanajua kuzaa bwana. Mbwa anakula mpaka half cake. Yani mbwa ni vile utaishi naye tu. Na ni walinzi wazuri sana. Ile mbegu nliipata ni amazing [emoji1]
Mbwa sio mlinzi tuu pia ni rafiki mzuri sanaHahaaaa na wanajua kuzaa bwana. Mbwa anakula mpaka half cake. Yani mbwa ni vile utaishi naye tu. Na ni walinzi wazuri sana. Ile mbegu nliipata ni amazing [emoji1]