Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,857
- 82,447
Atakuwa mhehe lazima huyu jamaa"Wakina mbwa"
???????
Mi kuna dogi langu nililifumania linakula papai. Hakyamama nalitafutia mazingira nilitwange nyundo kichwani... halichelewi kuanza kula mchicha kwenye bustani yanguHao mbwa sijui paka n.k ni carnivores ambao diet yao ni nyama. Mfumo wao wa umengenyaji chakula ni tofauti na wa herbivores na omnivores.
Utumbo wao mdogo sio mrefu kama wa hao wengine hivyo absorption ya nutrients inatakiwa kuwa ya haraka na vyakula kama matunda na mboga mboga vinachukua muda mrefu kuwa digested hivyo haviwafai.
Ingawa wanaweza kula baadhi ya vegetables ila ni adaptation tu ya mazingira husika kutokana na sababu mbalimbali kama scarcity ya chakula (nyama).
Kumpa mbwa ugali ni kumuonea. Kibiolojia mdomo wa mbwa, meno yake pamoja na mpangilio wa meno yake vimeumbwa kwa ajili ya kula nyama.Mbwa anakula Hadi chakula Cha kawaida mbn
HahahahaKumpa mbwa ugali ni kumuonea.Kibiolojia mdomo wa mbwa,meno yake pamoja na mpangilio wa meno yake vimeumbwa kwa ajili ya kula nyama.
Mimi hapa nazungumzia biology na wala siyo ufukara wa binadamu wa kumlisha mbwa ugali na mbwa kula ugali huo kwa sababu hana jinsi.
Hadi miwa!ππNyau wangu anakula chochote nachokula Mimi,sijajua kwa wengine.
Ngβombe, mbuzi, kondoo sio wanyam tunaowafuga? Hawali matunda?Nina swali japo sio la msingi Sana kwanini Kama matunda Ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
Ndio maana madogi mengi ya kufugwa yana vyura kama mademu wa kwa MpalangeKumpa mbwa ugali ni kumuonea.Kibiolojia mdomo wa mbwa,meno yake pamoja na mpangilio wa meno yake vimeumbwa kwa ajili ya kula nyama.
Mimi hapa nazungumzia biology na wala siyo ufukara wa binadamu wa kumlisha mbwa ugali baada ya kushindwa kumpa nyama na mbwa huyo kula ugali huo kwa sababu hana jinsi.
Hahaha babu inaonekana huyo dogi humpi chakula vizuri asee jitahidi mtengenezee chakula vipo vinauzwa. Sio unampa makombo.Mi kuna dogi langu nililifumania linakula papai. Hakyamama nalitafutia mazingira nilitwange nyundo kichwani... halichelewi kuanza kula mchicha kwenye bustani yangu
Swali lako ni zuri. Tatizo lipo kwenye kiswahili chako.ππππNdio wanyama Wengi me naona matunda hawali kama nyau SI hali nanasi Wala papai na mbona anahitaji nutrients zote
Acha uongo,Ndio wanyama Wengi me naona matunda hawali kama nyau SI hali nanasi Wala papai na mbona anahitaji nutrients zote
Hapana nawapa msosi spesho kabisa. Na mara mojamoja naenda kununua dukani nyamamifupa... sasa hili kite linaacha kutafuna mifupa na wenzie linakimbilia papai. Nataka niliue lisije likaanza tabia za kishoga...Hahaha babu inaonekana huyo dogi humpi chakula vizuri asee jitahidi mtengenezee chakula vipo vinauzwa. Sio unampa makombo.
Tembo hula matunda nadhani na twiga, tunaowafuga sijui kwanini hawali, tusubiri jamaa wa wanyama wajeNina swali japo sio la msingi Sana kwanini Kama matunda Ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
Ianzishwe JF toto, itawasaidia.Ulisoma biology dogo mpaka unaanza kutuletea story za wakina mbwa
kuna wanyama wanaokula matunda kama ngombe, punda mbuzi nk hasa wale walao majani na nyasi isipokuwa wale wanyama wanaokula nyama kama vile mbwa, paka, fisi nk, usisahau nyani, ngedere na jamii zao wanakula matunda piaNina swali japo sio la msingi Sana kwanini Kama matunda Ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
πππππ€£πAtakuwa mhehe lazima huyu jamaa