Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

ukinifumua marinda kisa wewe mwanaume basi nami nawatafuta wanawake wenzangu majenedariii wakutie chupa za kutosha ili nawe uwe na heshima.
 
Daaah, kuna watu mna mawazo ya ajabu aisee...unaanzaje kuwaza kufanya hivyo tena kwa mkeo...


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Penda sana ufafanuzi huu, maana ni ufafanuzi murua. Na siku zote uwaga ninawa-dis sana washikaji wenye hulka za hivi.

kumuingilia mkeo kinyume na maumbile hakuleti kwako wewe mfanyaji heshima kwa mkeo bali kunaleta wewe kwako mfanyaji dharau kwa mkeo. Ukiwa unapenda kumuingilia mkeo kwa kinyume na maumbile basi hata siku akikusaliti mkeo na yule atakae mpelekea atampa hiyo tigo uliye anzisha wewe kazi yake .kwa hiyo usifanye kabisa kitendo hicho.

madhara saba kwa mwanamke akiingiliwa kinyume cha maumbile


1.mwenyeezi mungu humchukia sana mtu huyo (mfanyaji mwanamme na mfanywaji mwanamke)


2.mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribukumsukuma mtoto.
Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.


3.pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.


4. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.


5. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.


6. Ugonjwa wa uti, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.


7. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?


---------------------

mjali tumbo;
Hivi unajua maana ya mke? Watu wengine jamani mnaonesha hamna hata sababu ya kuwepo kwenye jamii. Nimepata mke au nimeokota mwanamke?
Mke ndo hishima yako, mke ndo weye. Akiugua nawe waumia pia ila unajitahidi kuhakiki kuwa anapona upesi. Sasa waenda mfanyia ujinga ati sababu hukumkuta bikra! Weye mwenyewe ulikuwa nayo hiyo bikra?? Weye kukuwa umumjua mwanamke mwingine???
Kama weye waona ni vyema kumfanyia unyama huo, basi na weye amwombe yule aliyemtoa ubikra aje akuingilie na weye. Upuuzi mwingine haufai kabisa.
Mtu asiyemheshim mkewe hajui aliko. Haya ni mawazo yangu tuu,
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?

---------------------

Kama hukuwahi kutoa bikra maishani mwako pole sana. Utabaki unahangaika na fikra zako potofu!!
 
wadau kwa sisi ambao tumekuta wake zetu hawana tena bikra,kuna haja ya kumfumua marinda ya nyuma ili kujenga heshima na kumbukumbu au unamsamehee bure,uendelee kula makombo?

---------------------

marinda ya nyuma laana mkuu,usijaribu kabisa
 
Mchezo mchafu sana chunguza hawa jamaa zetu wa asili ya arabbia wake zao wengi hujifungulia nyumbani na wana wakunga wao maalumu coz huo mchezo wanaufanya sana na wake zao.
[h=1]Jesus would have supported gay marriage, says Sir Elton: Musician also says rules requiring Catholic priests to be celibate are ‘old and stupid’[/h]
  • Singer speaking in interview with Sky News’ Murnaghan programme
  • He also said Archbishop of Canterbury Justin Welby was 'doing a good job'
  • Sir Elton - who will marry next year - described Pope Francis as 'wonderful'
PUBLISHED: 22:04, 29 June 2014 | UPDATED: 11:14, 30 June 2014

462 shares
458
View
comments


Jesus would have supported gay marriage, Sir Elton John has claimed.

In an interview with Sky News’ Murnaghan programme, the musician also said that rules preventing gay clergy from marrying and those which require Catholic priests to be celibate were 'old and stupid things'.
The singer will marry his civil partner David Furnish next year in a 'very quiet' ceremony.


article-2674319-1F331F2200000578-340_634x753.jpg


+3


Jesus would have supported gay marriage, Sir Elton John has claimed. In an interview with Sky News' Murnaghan programme, the musician also said that rules preventing gay clergy from marrying and those which require Catholic priests to be celibate were 'old and stupid things'

He said: 'The church hierarchy, the traditionalists, might be up in arms about it but times have changed.

'If Jesus Christ was alive today, I cannot see him, as the Christian person that he was and the great person that he was, saying this could not happen.

[h=4]More...[/h]

'He was all about love and compassion and forgiveness and trying to bring people together and that is what the church should be about.'
During the interview, Sir Elton said that the Archbishop of Canterbury Justin Welby was 'doing a good job' and described Pope Francis as 'wonderful'.





Read more: Sir Elton John says Jesus would have supported gay marriage | Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Back
Top Bottom