binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,824
- 43,540
Haa Haa...jilipueni tuu haina namnaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo unaonaje tukiwa tunajilipua kama ndugu zetu wa kike
ukizingua unapewa za uso muda huo huo
kwanini sema tuNgoja ninyamaze
Hahahaaaa....kama ulikuwepo.,halafu unakuta na wao miguu yao kama stick za meno[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]Haaa haaa Hata mawifi ndo balaaa( ukiwepo sifa atakazomwagiwa Sasa.Mkiondoka(' kaka bwana Wanawake wote kamuona yule vimguu kama spoku za baiskeli
Huu nao Ni ugonjwa.Kabisa mkuu inapunguza sana, kuna mtu mnaweza mkaishi nae poa tu nyumba moja kwa kipindi kirefu ila siku mkizinguana tu anakumbushia hadi maudhi yako ya 2013 ambayo wewe ulikuwa huyajui. siku zote hizo alikuwa anaumia tu moyoni.
Ndio mimi mkuu....[emoji5] [emoji5] [emoji5]Ushimen Iyo Picha ya Avatar Ni Picha yako halisi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Point iliyokuwepo 'wengi wetu' hatupendani.Ukiisoma Tena utaelewa.Huyo mama aliyetaka kupeleka nguo kwa ndugu ni mwanaume? Na hizo nguo alitaka kupelekea wanaume tu? Tabia nyingi ulizotaja hapo zinaendana na uwezo na hadhi. Hata wanaume wa uwezo na hadhi ya chini wana tabia hizo hizo. Wanakaa barazani wakinyoana na kula kashata huku wakimjadili kila anayepita. Kuna msemo kuwa "simple minds discuss people". Ukienda saluni za ushuani utaenda saluni moja mwaka na kitakachokuwa kinaongea ni TV tu. Kila mtu yuko busy na mteja wake na mteja na simu yake au kitabu chake.
Kwenye kupeana kura mwanamke aliyeambiwa hawezi na akaamini anaweza asiamini kuwa mwenzie anaweza. Hata hivyo tuna wanawake wengi tu ni viongozi wa kuchaguliwa na hawajaolewa wala hawana watoto na wamechaguliwa na wanawake wenzao kwani ndo wapiga kura wengi. Kwa hiyo msemo wa wanawake hatupendani ni propaganda zaidi kuliko uhalisia. Mwanamke anayejitambua hawezi kumpa kura mwanamke na kumnyima mwanaume kwa sababu ya jinsi zao.