binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,154
- 34,577
Hahhaha pole.Nipo Mtoto wa Tandale na familia yake waliboa juu ya Zari party ya mama chibu mwaka jana, nami nikaumia hata kumshabikia lol
Hahhaha pole.Nipo Mtoto wa Tandale na familia yake waliboa juu ya Zari party ya mama chibu mwaka jana, nami nikaumia hata kumshabikia lol
Kumbe upo mamii, sijakuona muda kidogoHahhaha pole.
Nipo kipenzi but busy busy kidogo naingia kwa kubahatisha humu. Nikipata time ntaja PM tupige stori mbili tatu.Kumbe upo mamii, sijakuona muda kidogo
Ok mpz, ujitahidi maana MekumithiiiNipo kipenzi but busy busy kidogo naingia kwa kubahatisha humu. Nikipata time ntaja PM tupige stori mbili tatu.

Miss you.How is your family babe
Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
Tuombewe kama wao wanavyosemaga tuwaombee kwny kutamani. Hawatulii na ke mmojaTuombewe tuu nadhani ni mapepo yametuzunguka yakitoka hali itakuwa shwari kabisa.

Kabisa mydearTuombewe kama wao wanavyosemaga tuwaombee kwny kutamani. Hawatulii na ke mmoja![]()
![]()
![]()
Una chuki Na wanawake Wewe sio bureMmeumbwa Na Upeo Mdogo, Ili Muweze Kutongozeka. Akr Hz Zkkaa Pamoja Ni Majungu Na Umbea. Hvo Hata Km Mlikua Mnaelewana Mtaanza Kuvurugana Kwa Sababu Ya Maneno Yenu Yacokuwa Na Tija.