emanugulilo
Member
- Jun 22, 2017
- 39
- 29
Wivu umetuzidi
Haaaa haaaaa hiyo tena Kali Sasa ulitembea Na wote Ili mmoja amkomoe mwenzake?? Na mbona ulikubari.Usikataedada yangu nilikuwa namshangaa akiongea na wenzake utaskia, 'kichuna, mpenzi, sissy na maneno yote mazuri' akikata simu utaskia msonyooo. Kinachofuata ni matusi mwanzo mwisho huyu changud.a alikuwa ananitaka nini?
kipindi flani nimepanga nilikuwa nashangaa naombwa sufuria, kinu, ungo wakati kulikuwa na wanawake wengine?
ila wanawake mna matatizo nishatembeaga na wanawake wawili kisa walikuwa wanaugomvi
Inasikitisha sana.Unaongea Na mwenzio Sasa unampa Na siri zako zote( Baada ya muda anageuka anakuchoma) Lakini kasahau kama Na yeye alikusimulia ya kwake yote.Aisee! Mbona wenzetu wa kiume wengi wetu wana vifua?Nikweli, wanawake hatupendani, na kinacho Fanya tusipendane ni kila mmoja anajiona bora, mzuri yeye, kasoma yeye, pesa anazo yeye, kuvaa anajua yeye, mabwana mahandsome wote anayo yy, ndiyo chanzo cha sisi kutopendana tuna wivu wakijinga usio na maana
Haaa haaa Hata mawifi ndo balaaa( ukiwepo sifa atakazomwagiwa Sasa.Mkiondoka(' kaka bwana Wanawake wote kamuona yule vimguu kama spoku za baiskeliNi kweli wanawake wengi hawapendani. Ni asili yao ukitakakuona njoo na mwanamke umtambulishe nyumbani kwa ndugu zako wa kike kuwa huyu ndiyo mke wangu kipenzi ndiyo utawajua vizur hawa viumbe
Safi sana Jovitha, Kweli wapo baadhi ya Wanawake Mpaka raha japo Ni wachache sana.Unapenda majungu fitina Ni mwiko.Tuige jamaniHapana sipo hivyo hata kidogo nahisi Nina roho ya kipekee, coz sijui kuringa, sina nyodo, majigambo, nipo kawaida mnoo nainapotokea mwanamke mwenzangu kafanya jambo zuri nasikia amani mnoo kumpongezaaa,... Hivyo ndiyo jilivyo
Lakini sina rafiki wa kike hata mmoja wala wakiume, mda mwingi napenda kuwa peke yangu, kuepusha mambo yasiyo na ulazima
Nawapenda.Ila nimeongea hivyo kwa idadi kuwa kubwa.Chukulia.Mfano wake Wenza ndani ya ndoa Pengine wanakaa nyumba 1,mmoja akiwa a napika chakula Huyu mwingine anaweza akamvizia Na kutoa chunvi kifuko kizima Lengo Huyu aonekane Hajui kupika, anapogombezwa Huyu aliyefanya Hivi anafurahi.Sasa you can see how it is!Wewe kama huwapendi wenzio ndo useme kwa nini. Mimi binafsi sinaga hizo aisee mtu yeyote ambae yuko vizuri either kwa nguvu zake au kwa kubarikiwa tu na muumba huwa sisiti kumpa credit zake. Ila huwa sitoi sifa za unafiki na sinaga tabia ya kujipendekeza...siwezi kumsifia mtu eti kwa sababu kila mtu anamsifia. Ni kweli umependeza lakini kupendeza ni subjective waweza kuwa machoni pangu hujapendeza nikusifie uongo? Hapo ndo watu huanza kusema wanawake hatupendani...mimi wanawake wenzangu nawapenda sana hasa wale wasio wambea-wambea na wasio na unafiki.
Chukulia Mfano mwingine, kaka kaka, WiFi anamchukua mdogo au Dada wa mume naishi naye mwanzo ni wataishi ishi Baada ya muda.Aisee watampa Kazi sana Kaka wa Watu kuamua ugomvi usioisha kila Siku kwa vitu ambavyo wangetatua wenyewe. Hivyo Hivyo Kwa baadhi ya Mama mkwe. Ni shidaaaaa!Yaleyale. Hapa wewe unajiona ni bora kuliko wenzio....ifahamike kuwa kila binadamu ana tabia yake kama mtu ana maringo, kiburi majigambo hiyo ni tabia yake atakuwa hivyo hata kwa wanaume.
Nawapenda.Ila nimeongea hivyo kwa idadi kuwa kubwa.Chukulia.Mfano wake Wenza ndani ya ndoa Pengine wanakaa nyumba 1,mmoja akiwa a napika chakula Huyu mwingine anaweza akamvizia Na kutoa chunvi kifuko kizima Lengo Huyu aonekane Hajui kupika, anapogombezwa Huyu aliyefanya Hivi anafurahi.Sasa you can see how it is!
huu mfano wako nimecheka..hapo kwenye ukewenza ni kesi nyingine mama unadhani wanaume wangekuwa wanatuwowa wawiliwawili wasingekuwa wanafanyiana visa thubutu...Mngekuwa mnapendana hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro hivi sasa ndo angekuwa rais wa nchi hii.Haaaaa haaaaa .Tupe ushauri wa kujenga basi.Tufanyeje
Kweli kabisa.Jambo Dogo linakuzwaaa yaani.Yaani Hata ile appreciation wkt mwingine Hakuna.Wanawake mko juu sana...mnaweka kasoro mpaka kwenye msosi
Nakwambiaaa.Majumbani Hasa nyumba yenye wake wawili Ni full stress bora awapangie nyumba tofauti.But Hata kama Ni tofauti atachunguza Nguo nini umbeya kwa ma jirani.Yaani Ni shida![]()
![]()
![]()
huu mfano wako nimecheka..hapo kwenye ukewenza ni kesi nyingine mama unadhani wanaume wangekuwa wanatuwowa wawiliwawili wasingekuwa wanafanyiana visa thubutu...