Naona ushaidi wa wazi huu hapa heloo!Ni kweli
Sikubaliani nawe asilani!!
hayo maneno ya kusema wanawake hatupendani yanatoka kwa mwanaume.
Na wanaume ndio hawawapendi wanawake kila siku masimango kwa wanawake hata humu JF.
Kwa andiko lako hili naanza kukuona kama wewe ni me aisee
Huwa nasikia wanawake hampendani ila sjathibitisha kama kweli mpo hivoFafanua kaka.hujaeleweka
Mkuu imetolewa amri yakuto taja taja neno KIBITINimechekaaaaa sana.Aieew wewe umetokea Kibiti nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapa ndipo kwao na uchochezi wa makatiko.
Actually binadamu wote tuna wivu na wivu huo ukizidi mara nyingi uzaa chuki ndani yake, ila sema kwa wanawake uenda mbele zaidi na kuzianika wazi wazi na hapo ndipo tunapata ile kauli ya "wanawake hawapendani"Huwa nasikia wanawake hampendani ila sjathibitisha kama kweli mpo hivo
Nachojua hata sis wanaume baadhi yetu hatuna upendo kati yetu.
Wivu tuu wa wanawake...hawajawihi gombana wala nnHaaaaa haaaaa.Huyo Dada naye Chiboko.Au walishagombana.Nionavyo Mimi Ni kwamba kabla ya wewe kuoa Kuna vile vimsaada Sasa akina WiFi Hakuna.Unategemea ampende kwa lipi[emoji3] [emoji3]
Sawa mkuuActually binadamu wote tuna wivu na wivu huo ukizidi mara nyingi uzaa chuki ndani yake, ila sema kwa wanawake uenda mbele zaidi na kuzianika wazi wazi na hapo ndipo tunapata ile kauli ya "wanawake hawapendani"
Sawa mkuu
Ila hii tabia ya wanaume kufichaficha mambo inapunguza life span yetu
Kwa hiyo unaonaje tukiwa tunajilipua kama ndugu zetu wa kikeKabisa mkuu inapunguza sana, kuna mtu mnaweza mkaishi nae poa tu nyumba moja kwa kipindi kirefu ila siku mkizinguana tu anakumbushia hadi maudhi yako ya 2013 ambayo wewe ulikuwa huyajui. siku zote hizo alikuwa anaumia tu moyoni.
Kwani huyo house girl ni mwanaume??Haaaaa haaaaa.Huyo Dada naye Chiboko.Au walishagombana.Nionavyo Mimi Ni kwamba kabla ya wewe kuoa Kuna vile vimsaada Sasa akina WiFi Hakuna.Unategemea ampende kwa lipi[emoji3] [emoji3]
Kweli kabisa.Jambo Dogo linakuzwaaa yaani.Yaani Hata ile appreciation wkt mwingine Hakuna.
Mfano.Kuna mama mmoja alikuwa anarudi kijijini kwao kulima Akaona Si vibaya akusanye vitenge Na Nguo za zamani Kidogo awapelekee wa nyumbani .Aisee walimu weka kikao.Kwa nini awape Nguo za zamani asiwanunulie mpya ?? Wakasema au ndo Dharau za mjini hizi? Lakini nia ya mleta Nguo Walau ziwafae kushindia kwa kuwa Hawana.
Kwa hiyo wewe kaka unaona sifaaa??umefanya nini Sasa.Acha kudharau Wanawake.Sijaenda Hata kidogo.Njoo Pm
Ukiona hivyo ujue yamemkuta.Maana asingeandika hivyo Bila ya kumkutaa.Naninaonyesha jinsi gani Wanawake ambavyo tuna safari ndefuHii txt mkuu umeandika kwa hisia pole mkuu jaribu kutembelea sehem za ufukwe weekend ili mind ako iwe na furaha walau basi mkuu sawa eehh
Sema mmezidi kusemana asee huwa najaribu kuwaza hivi nkioa huyo mwanamke atakuwa wa namna gani,msemaji au mpole,Ukiona hivyo ujue yamemkuta.Maana asingeandika hivyo Bila ya kumkutaa.Naninaonyesha jinsi gani Wanawake ambavyo tuna safari ndefu