Akampa jina lako??? Hapo umekosea kidogo au?mtoto wakiume
Haaaaa haaaaa.Huyo Dada naye Chiboko.Au walishagombana.Nionavyo Mimi Ni kwamba kabla ya wewe kuoa Kuna vile vimsaada Sasa akina WiFi Hakuna.Unategemea ampende kwa lipi[emoji3] [emoji3]Aisee mkuuu wanawake ni watu wa ajabu sana..majuzi hapa mama yeyooo alinitumia picha za maza angu mana wanaishi wote uko mjini anapofanyia kazi wife na mm niko wilaya za vijijini sasa maza amekuwa pale kwa ajili ya matibabu takribani miezi5..sasa.Sasa si nilichukua zile picha nikamtumia sister angu ili aone maza alivyonawiri nn...heeee..jibu lake sasa sifa eti zinaenda kwa house girl...na mm sikumchelewesha nikamwambia huyo house girl ndo ameolewa??huyu house girl anajua huyu mama nguo anazovaa zinanunuliwa sh ngapi??...alinyamaza kimya mkapa leo hatujawasiliana...nikajua ni wivu tuuu wa kike..yani bada ya ku appreciate wifi yake anakaa vzri na mama ake..ye akaona amsifie beki3...wanawake hawapendani kwa kweli...
Kwa hiyo wewe kaka unaona sifaaa??umefanya nini Sasa.Acha kudharau Wanawake.Sijaenda Hata kidogo.Njoo PmWote nilikuwa nawatamani maana sio kwa mashepu yale tena. Sasa nikapata chance ya ku-divide and rule. Ila baada ya kujuana nishatembea nao kila mmoja nashangaa kama wiki hivi kupita kaja mmoja kwangu, mara ohh yule malaya wako vip! mi nikamkandia weee basi na mzigo nikapewa. Yule mwingine nilimwita ili nimuombe msamaha sassa kuja na bia kanywa nikafanya nilichofanya.
Ila wanawake mna matatizo sana
Amigo....Chuki hazijengi nyie wanawake jifunzeni kupendana
Nimechekaaaaa sana.Aieew wewe umetokea Kibiti nini?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Katika kumbukumbu zangu, sjawahi kumtusi mtoto wa kike. Wala sitajaribu.
akiniudhi saaaaaaana ntamwambia
Ona una sura mbovu kama beyonce wa jei ziii
FafanuaaSikubaliani nawe asilani!!
hayo maneno ya kusema wanawake hatupendani yanatoka kwa mwanaume.
Na wanaume ndio hawawapendi wanawake kila siku masimango kwa wanawake hata humu JF.
Kwa andiko lako hili naanza kukuona kama wewe ni me aisee
Hahahah watakuita mchocheziAmigo....
Kumbe wewe haujui principal ya kutawanya miguu yao.
Hawa wakipendana hatutapata fursa ya kuwapanga kama mabasi yawendo kasi.
Bora waendelee kujichukia hivyo tu ili tuendelee kuwafaudu kama jana, leo na kesho.....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji34]
Hii txt mkuu umeandika kwa hisia pole mkuu jaribu kutembelea sehem za ufukwe weekend ili mind ako iwe na furaha walau basi mkuu sawa eehhNi kweli, nimeshakuwa na marafiki kipindi cha nyuma lakini wote walinisaliti yani tokaa niingie mjini sijawahi kupata rafiki wa kweliii, wakati nasoma kijijini kwetu nilipata rafiki anaitwa Jackline ,yule ndiyo alikuwa rafiki wa kweli tulipo maliza sec tukaja mjini bado urafiki wetu uliendelea kudumu kwenye shida na rahaaa ............ . .... Na hadi Leo hii tunapendana mnooo yani mnoo ila kwasasa mwenzangu ameshaolewaaa,.... Mimi bado na siunajua MTU akishaingia kwenye ndoa lzm kuna vitu vinabadilika, kuna mambo siwezi mshauri, n.k alafu sasa hivi tuko mikoa tofauti, yangu Jack aolewe nimekuwa mpwekw mnooo....
Nampenda sana rafiki yangu mnoo na alijifungua mtoto wakiume akambatiza jina linalofanana na lakwanguuu.........[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahah watakuita mchochezi
Kula tano mkuu [emoji109][emoji109]Mimi mwanaume naweza kuwa nimetulia na wana akatokea rafiki yangu ghafla na nikamwambia we fala umepoteleaga wapi na akiondoka nitawaambia masela huyu jamaa rafiki yangu kichizi.
Ila mwanamke akimwona rafiki yake atampokea vizuri na kumwita majina mazuri ila akiondoka tu anaanza kumpaka maneno mabovu
Wadada na mi naomba kueleweshwa huwa nn tatizo.
Ni kwanini sasa hampendani? hata hiyo feminism movement itafanikiwa vipi sasa kama ndio hivyo?Ni kweli