Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

MWANAFALSAFA MMOJA ALIWAHI KUSEMA "WOMEN HAVE GOT LONG HAIR AND SHOT SENSE"
 
Hapana sipo hivyo hata kidogo nahisi Nina roho ya kipekee, coz sijui kuringa, sina nyodo, majigambo, nipo kawaida mnoo nainapotokea mwanamke mwenzangu kafanya jambo zuri nasikia amani mnoo kumpongezaaa,... Hivyo ndiyo jilivyo

Lakini sina rafiki wa kike hata mmoja wala wakiume, mda mwingi napenda kuwa peke yangu, kuepusha mambo yasiyo na ulazima
Kudos Jovitha!! lakini tafadhari kuwa na marafiki ili ujipime how strong you are!!
Siku zote matatizo hayakimbiwi, ila yanatatuliwa...
 
Ni kweli, nimeshakuwa na marafiki kipindi cha nyuma lakini wote walinisaliti yani tokaa niingie mjini sijawahi kupata rafiki wa kweliii, wakati nasoma kijijini kwetu nilipata rafiki anaitwa Jackline ,yule ndiyo alikuwa rafiki wa kweli tulipo maliza sec tukaja mjini bado urafiki wetu uliendelea kudumu kwenye shida na rahaaa ............ . .... Na hadi Leo hii tunapendana mnooo yani mnoo ila kwasasa mwenzangu ameshaolewaaa,.... Mimi bado na siunajua MTU akishaingia kwenye ndoa lzm kuna vitu vinabadilika, kuna mambo siwezi mshauri, n.k alafu sasa hivi tuko mikoa tofauti, yangu Jack aolewe nimekuwa mpwekw mnooo....

Nampenda sana rafiki yangu mnoo na alijifungua mtoto wakiume akambatiza jina linalofanana na lakwanguuu.........
 
Watapendana siku yesu akirudi kwa mara ya pili kuja kuwa suluhisha....

Sijui hiyo ni kweli kama ni kweli basi watapendana mwisho wa dunia hahaaa kama sio basi ni full kuchukiana mpaka akhera watachukiana tuu hakuna namna hapo

Ivi kuna chombo ambacho kiliundwa kusuruhisha migogoro ya wanawake kweli au ndo hizo WAMWA, BAWATA...

nawaasa wanawake pendaneni, just try to cope the way men behave.... Utakuta wanaitana kwa matusi lakin likija suala la kusaidiana walaaa haina shida,

Wanawake daaa mnajifanya mnapendana mnaitana majina mazuri kweli, sweet, dear, mpenzi n.k lakin litokee tatizo kidogo huuu moto wake aseee ni hatari hauzimwi hata kwa fire.

Wanawake ni jeshi kubwa mnaweza leta mapinduzi makubwa sana duniani kama mtakuwa wamoja.

That is all about my take to women.
 
Mimi mwanaume naweza kuwa nimetulia na wana akatokea rafiki yangu ghafla na nikamwambia we fala umepoteleaga wapi na akiondoka nitawaambia masela huyu jamaa rafiki yangu kichizi.

Ila mwanamke akimwona rafiki yake atampokea vizuri na kumwita majina mazuri ila akiondoka tu anaanza kumpaka maneno mabovu

Wadada na mi naomba kueleweshwa huwa nn tatizo.
 
Hapana sipo hivyo hata kidogo nahisi Nina roho ya kipekee, coz sijui kuringa, sina nyodo, majigambo, nipo kawaida mnoo nainapotokea mwanamke mwenzangu kafanya jambo zuri nasikia amani mnoo kumpongezaaa,... Hivyo ndiyo jilivyo

Lakini sina rafiki wa kike hata mmoja wala wakiume, mda mwingi napenda kuwa peke yangu, kuepusha mambo yasiyo na ulazima
Sema una katabia ka u antisocial.
 
Haaaa haaa shemeji Upo?? Mbona umesema kinyongee.Tupe ushauri
Naweza kuwapa ushauri lakini naogopa maana badala ya kuupokea mnaweza kuniundia kundi la msuto...

Nyie wamama akili zenu mnazijua wenyewe
 
sasa ikiwa nyie kwa nyie bifuuu.... kwa jinsia me si ndio vurugu kabisa.....mtupishe hukoooo....
 
Ni kweli, nimeshakuwa na marafiki kipindi cha nyuma lakini wote walinisaliti yani tokaa niingie mjini sijawahi kupata rafiki wa kweliii, wakati nasoma kijijini kwetu nilipata rafiki anaitwa Jackline ,yule ndiyo alikuwa rafiki wa kweli tulipo maliza sec tukaja mjini bado urafiki wetu uliendelea kudumu kwenye shida na rahaaa ............ . .... Na hadi Leo hii tunapendana mnooo yani mnoo ila kwasasa mwenzangu ameshaolewaaa,.... Mimi bado na siunajua MTU akishaingia kwenye ndoa lzm kuna vitu vinabadilika, kuna mambo siwezi mshauri, n.k alafu sasa hivi tuko mikoa tofauti, yangu Jack aolewe nimekuwa mpwekw mnooo....

Nampenda sana rafiki yangu mnoo na alijifungua mtoto wakiume akambatiza jina linalofanana na lakwanguuu.........
Hata Mimi Nina Rafiki wa toka Sec aitwae Grace.Hajawai nisaliti Hata kusikia ananitetaa.Grace Popote ulipo.I miss u.
 
Watapendana siku yesu akirudi kwa mara ya pili kuja kuwa suluhisha....

Sijui hiyo ni kweli kama ni kweli basi watapendana mwisho wa dunia hahaaa kama sio basi ni full kuchukiana mpaka akhera watachukiana tuu hakuna namna hapo

Ivi kuna chombo ambacho kiliundwa kusuruhisha migogoro ya wanawake kweli au ndo hizo WAMWA, BAWATA...

nawaasa wanawake pendaneni, just try to cope the way men behave.... Utakuta wanaitana kwa matusi lakin likija suala la kusaidiana walaaa haina shida,

Wanawake daaa mnajifanya mnapendana mnaitana majina mazuri kweli, sweet, dear, mpenzi n.k lakin litokee tatizo kidogo huuu moto wake aseee ni hatari hauzimwi hata kwa fire.

Wanawake ni jeshi kubwa mnaweza leta mapinduzi makubwa sana duniani kama mtakuwa wamoja.

That is all about my take to women.
Kweli kabisa.Tuombewe.Mana wengi wetu tumejawa Na Unafiki.Mwenzio kaolewa katulia utasikia mmmmh hafiki popote wataachana tu.Jamani.Kweli??kwa nini usifurahie Na wewe ujitahidi uwe kama Wao.Uige njia zao?
 
Kuna bar moja kuna wadada wawili walitofautiana huyo mmoja akawa anasema yeye hatishwi na mwanamke yeyote kwamba mwanamke yeyote ni malaya kazi yake kuto*** tu kama yeye eti hatishwi na mtu ambaye akijisaidia anachuchumaa.Kitu nilicho toka nacho kwa yule mwehu ni kuwa wanawake wanadharaulina sana
 
Back
Top Bottom