Kwanini wanawake wengi wetu hatupendani?

Ukitaka ujue roho za hawa watu mlete mama mkwe akae hata mwezi ....bila mwanaume kua na hekima kesi hazitaisha yaan ni full kulalamikiwa.Sasa akija baba mkwe ni full raha .Jamani wanawake jichunguzeni mmalize tofauti zenu
Hili nalo neno
 
Ni kweli wanawake wengi hawapendani. Ni asili yao ukitakakuona njoo na mwanamke umtambulishe nyumbani kwa ndugu zako wa kike kuwa huyu ndiyo mke wangu kipenzi ndiyo utawajua vizur hawa viumbe
Aisee mkuuu wanawake ni watu wa ajabu sana..majuzi hapa mama yeyooo alinitumia picha za maza angu mana wanaishi wote uko mjini anapofanyia kazi wife na mm niko wilaya za vijijini sasa maza amekuwa pale kwa ajili ya matibabu takribani miezi5..sasa.Sasa si nilichukua zile picha nikamtumia sister angu ili aone maza alivyonawiri nn...heeee..jibu lake sasa sifa eti zinaenda kwa house girl...na mm sikumchelewesha nikamwambia huyo house girl ndo ameolewa??huyu house girl anajua huyu mama nguo anazovaa zinanunuliwa sh ngapi??...alinyamaza kimya mkapa leo hatujawasiliana...nikajua ni wivu tuuu wa kike..yani bada ya ku appreciate wifi yake anakaa vzri na mama ake..ye akaona amsifie beki3...wanawake hawapendani kwa kweli...
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] aisee we fala noma [emoji16] [emoji16]
 
Haaaa haaaaa hiyo tena Kali Sasa ulitembea Na wote Ili mmoja amkomoe mwenzake?? Na mbona ulikubari.Usikatae

Wote nilikuwa nawatamani maana sio kwa mashepu yale tena. Sasa nikapata chance ya ku-divide and rule. Ila baada ya kujuana nishatembea nao kila mmoja nashangaa kama wiki hivi kupita kaja mmoja kwangu, mara ohh yule malaya wako vip! mi nikamkandia weee basi na mzigo nikapewa. Yule mwingine nilimwita ili nimuombe msamaha sassa kuja na bia kanywa nikafanya nilichofanya.

Ila wanawake mna matatizo sana
 
Umemaliza yote bibie
 
Ukitaka ujue roho za hawa watu mlete mama mkwe akae hata mwezi ....bila mwanaume kua na hekima kesi hazitaisha yaan ni full kulalamikiwa.Sasa akija baba mkwe ni full raha .Jamani wanawake jichunguzeni mmalize tofauti zenu
Mkuu mimi mama yeyooo anakaa na wife wenyewe miezi5 sasa mana nilipata uhamisho sasa kwa vile wife yuko mjini sikutaka kuangaikia maswala ya uhamisho.Sometime maza mwenyewe uniambia umshukuru mke wako...amenifanyia ABC....na hayo anayafanya mm sijui...so Mama anainjoi kukaa na mkwe wake...zawadi pekee kwa huyu mama yeyooo ni kwenda kupasha kiporo...yani mwakani nibariki ndoa kanisani mana hii yaserikali haitambuliki ki kristooo..
 
Si nimeona umenambia kichwa kama bumunda miguu kama ngubiti nikajua haya matusi tu haya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Katika kumbukumbu zangu, sjawahi kumtusi mtoto wa kike. Wala sitajaribu.

akiniudhi saaaaaaana ntamwambia

Ona una sura mbovu kama beyonce wa jei ziii
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Katika kumbukumbu zangu, sjawahi kumtusi mtoto wa kike. Wala sitajaribu.

akiniudhi saaaaaaana ntamwambia

Ona una sura mbovu kama beyonce wa jei ziii
Mi nakuangalia tu ujue

Hii kesi naipeleka kwa mods,haiwezekani uniongeleshe kizungu
 
Sikubaliani nawe asilani!!

hayo maneno ya kusema wanawake hatupendani yanatoka kwa mwanaume.

Na wanaume ndio hawawapendi wanawake kila siku masimango kwa wanawake hata humu JF.

Kwa andiko lako hili naanza kukuona kama wewe ni me aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…