Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

WinterSummer

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
37
Reaction score
32
Habari za majukumu, wazawa na wasio wazawa,

Naomba kuuliza hivi, kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless? Yaani pumba, hasa ukiwasikiliza katika maongezi yao, hawaongei mambo ya maana kabisa.

Naomba ambao mna uzoefu na hili mnipe uzoefu/uthibitisho juu ya hili.

N.B; mimi ni mgeni humu kwa kupost japo ni mwenjeji kwa kusoma post zenu.

Hivyo punguzeni utani!
 
Wanaringia uzuri wao kwa hiyo hawataki kushughurisha akili
 
Habari za majukumu, wazawa na wasio wazawa,

Naomba kuuliza hivi, kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless? Yaani pumba, hasa ukiwasikiliza katika maongezi yao, hawaongei mambo ya maana kabisa.

Naomba ambao mna uzoefu na hili mnipe uzoefu/uthibitisho juu ya hili.

N.B; mimi ni mgeni humu kwa kupost japo ni mwenjeji kwa kusoma post zenu.

Hivyo punguzeni utani!
Hata kwenye kuolewa pia huwa ni aghalabu sana,sijui kama umeliona hili..??
 
Mkuu umesema Kweli hapa mtaan tupo nao yaani hawajawahi kuwa serious na maisha,they take it easy !!!
 
Back
Top Bottom