Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

Haha kwel English ni tatizo .
.najua ulitaka kusema pambana na hali yako ...

Wewe ni mgeni hapa jf??? Hili neno umeliona Leo?
Mm ndo nimelitumua kwa Mara ya kwanza?

Hujawai kuona MTU mwingine akilitumia??

Haya tuwambie kiingereza sahihi.!!!

Nisingeandika neno ambalo najua jf lhalijulikani. Punguza ushamba wa chato.na kiingereza chako cha English course

Narudia tena fight with your weather.
 
Jamani Kama Kiingereza Mtu Hajui Uzilamishee....weather ina compatibility gani na hii sentensi...Hahahaaa
Wewe kama ni mgeni jf utajibeba,wacha ushamba kwani neno hili umeliona kwa Mara ya kwanza?

Wewe kiingereza unakijua?? Ulivyo quote kwa nguvu ukidhani umekosoa neno jipya hapa jf kumbe marudio.

Wanaolijuwa wanapita kimya wewe endelea na ushamba wa chato.

BTW fight with your weather huna jipya hapa jf.
 
Hahahaaa Mamaaa Povu la nini sasaa? au ndo Kumind Kwenyewee??
 
Back
Top Bottom