Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

yawezekana lakini sio wote, kuna wengine ni warembo na kichwani wako vizuri sana ukikaa naye kuongea vitu vya maana unajilaumu kwa nini hukumjua mapema.

Wengine mawazo ni mabovu kiwango cha PHD, mfano juzi kati nilikuwa na mdada mrembo sana mawazo yake sasa anawaza ujinga mtupu![/Q
UOTE]
Dah.Hongera bro kwa kukutana naye,maana mimi nawatafuta wa design hiyo kama mashine za kuchenjulia madini!! Wengi wabovi kichwani!!
 
Na hili linajidhihirisha hata kielimu, ukikuta mwanamke Dokta au Profesa,muangalie jinsi alivyo muonekano wake!Warembo wengi huishia degree ya kwanza au ya pili!
Lol! Kazi ipo,lakini kupanga ni kuchagua!Sema wao wamejaliwa akili ya kujua mambo ya anasa.
 
Sio warembo tu na wenye makalio makubwa, ni pumbafu pumba tupu kichwani. Uzuri na kalio kubwa vimekuwa ulemavu kama ulemavu wa viungo kwa walemavu. Hopeles
Ha ha haa haaaa haaaaaaa! Wataandamana brother!!
 
Balance of nature.

Asilimia kubwa ya wanawake watakao pinga jua hapo kuna mawili, either ana akili ila sura akawa kama le mutuz au mzuri ila akili kama ya le mutuz. Yan hatak kbsa aambiwe kuna alichokosa, vyote asifiwe yeye.
Ha ha haaaaaa haaaaaa! Nilinuna kwa muda lkn haya maneno yamenifanya nicheke kwa sauti! Akili,Akili_Akili.kabla ya sura akili kwanza/attitude.
 
Mmmmmmh !!!: hakuna hata audio/video tuone hizi pumba, akuelewe nani??

Anyway, fight with your weather.
Jamani Kama Kiingereza Mtu Hajui Uzilamishee....weather ina compatibility gani na hii sentensi...Hahahaaa
 
Back
Top Bottom