futikamba
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 243
- 13
legalize ganja, its just a plant
Hakuna button ya like mkuu... Basi wacha nikulike namna hii. Sio tu jani, ila ni zao la biashara pia. Pesa mingi sana inapotea on black marijuana market wakati ingekuwa legal watu tungepiga ela ndefu sana na serikali ingepata mshiko mrefu tuu. Embu wenye sauti pigeni kelele huko bungeni, najua kuna wakuu wa nchi wanapita pita humu. Chukulieni hii siriaz, kama nchi tunaweze kupiga ela mingi sana from Marijuana farming and processing. Tena ya kwetu ni Baab Kubwa!
Alafu masista duu kuvuta isiwe jambo la kushangaza. Mbona ni stimu kama nyiningine tuu? Wacha wavute wapate stimu alaaah!