Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

Kwa dar kuitaka kushuhudia nenda slip way,Maisha club watoto wazuri wana kula kijiti
 
nimeshangaa juzi nilikuwa naosha gari mahali, nikaona altereza imepaki mahali kuchungulia nikaona mtoto ameweka mguu juu ya stelingi, nikasogea kidogo loooooh kumbe mtoto alikuwa ananyonya mmmea isee yan huwezi amini ukimtizama looooh,ndio maana siku hizi wanasema wanaume hawawafikishi kileleni maana mtu amekula vitu vyake amekolea akikupa papuchi anaona kama unamkuna tu

Mkuu papuchi zenyewe siku hizi zinawekewa moshi wa jani,ni shida.
 
bangi ni dawa,bangi inakata kitambi fasta(gym tupa huko)
 
Wamechanganyikiwa na maisha make kosaikolojia at 30 anatakiwa ameolewa lakini ukute wala wa kumtania hayupo na mwiingine ameachwa zaidi ya mara 10 ...acha wakavue nguo sasa ama vichwa vipasuke
 
Haki sawa. Ukila ngada nae anakula ngada. Ukivaa buti nae anavaa buti. Ukishusha kata K, nae anashusha. Ukisema mambo anakujibu niaje babu. Ukisema kazana anakujibu komaa.
 
Wanavuta kusudi walegee macho, ukikutana nae wakati katupia cha Arusha Hilo jicho hataree lazima udate
 
Maagizo ya dr mwaka, mpgie akufafanulie maana jaamaa ndiyo bigwa wa magonjwa ya wanawake.
 
dah kuna mdada mmoja married stori zake kila mara anataka kujaribu bangi.... ngoja nkamvutishe fasta
 
Back
Top Bottom