Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

Ndo maana hata posts zao ni miguu juu kichwa chini
 
Kwa tafiti IPI ndio maans hata
siasa ina washinda mnabaki kudai mmeibiwa kura
 
Bia ghali sana inabidi waanzie msuba, viroba na hatimae ngano moko ya kusuuzia, si unajua tena magufuli ankusanya kodi
 
Wengi wao wanavuta ili wawe warembo, wanapenda wawe high wachnagamke wawe huru ku act wanacho taka.

Kuna ofisi flani niliwahi fanya kazi, boss wa kike alikuwa akipuliza vizuri tu...

Mfano ili aibu iondoke , uwe mchekeshaji mwenye points na kuuvaa uhalisia na kuwa serious, ili uweze kuwa play role yeyote ile ni lazima idhaniwe kuwa unavuta bangi...

Bangi imekuwa kama kisingizio au msaada wa hawa dada zetu katika swala la kujiamini...

Uzuri ni kwamba ni waoga mno...hata kama ni wavutaji bangi zao hazina tofauti na kilevi cha mrungi "handasi"
Yaani ukishtuliwa kidogo tu ..kwisha you turn in to normal conscious
Bangi ina hallucination nyingi sana,kama ulishawahi kukamatwa mtu usiemjua akitokea tu presha juu
 
Hii issue uanza pale unapotumia sana shisha mwisho unajikuta umeshavuta na ndumu. .. Mungu awasaidie
Yeah mtu akishazoea shisha bangi inakua haiogopi sana
 
kila kitu kinashangaza sikuiz,la maana kila mtu ajilinde na nafsi yake
 
Back
Top Bottom