Kwanini wanawake wengi wanapenda kutembea na Mashoga?

Kwanini wanawake wengi wanapenda kutembea na Mashoga?

Nilijua magay..kumbe sio!..
Mtoa mada alimaanisha hivyo hivyo, gays. Point yangu ni kwamba kama unaweza kuwa na rafiki wa kike na ukafanya kazi zako iweje kampani ya gay iwe ni kukosa kazi? Kwani huwezi kuwa na rafiki ambae ni shoga na ukatekeleza majukumu yako kama kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mwenye kazi hawezi huo ujinga wa kushinda na mabwabwa all time.

Imagine kuondoka asubuhi kurudi usiku.. Anapata wapi huo muda??. Labda hilo bwabwa Liwe ofisini kwake..
 
Mwanamke mwenye kazi hawezi huo ujinga wa kushinda na mabwabwa all time.

Imagine kuondoka asubuhi kurudi usiku.. Anapata wapi huo muda??. Labda hilo bwabwa Liwe ofisini kwake..
Na kama shughuli anazozifanya zinamkutanisha muda wooote na hao gays?
 
Mtoa mada alimaanisha hivyo hivyo, gays. Point yangu ni kwamba kama unaweza kuwa na rafiki wa kike na ukafanya kazi zako iweje kampani ya gay iwe ni kukosa kazi? Kwani huwezi kuwa na rafiki ambae ni shoga na ukatekeleza majukumu yako kama kawaida?

Sent using Jamii Forums mobile app

Bas kila mtu na mtazamo wake!...kila mtu asimamie anachoona!...kwamba niwe na rafiki shoga??? Nnawafundisha nn wanangu?hapana mm siwez
 
Mashoga ni wa aina mbili au tatu. Unamaanisha wepi sasa, mashoga wanawake kwa wanawake wanaitana mashoga, mashoga mapunga mabwabwa na mashoga watafuna mabwabwa yaani wale wanaume wanaoridhishwa na wanaume wenzao mpaka wengine wanafikia hatua ya kuwaoa kabisa
 
we sema wadada wa mujini wengi ndo wenye tabia za kuongozana na hao watu, ila huku mitaani me sionagi wanawake wanaoongozana na mshoga, kwanza hao mashoga hata kuwaona huku mtaani huwa siwaoni zaidi ya kuwaona mtandaoni tu
 
Wao kila tamthilia lazima wachomekee ugay ndani
Hata Mimi huwa nashanga jinsi ukiliona jamaa lilivyo jaa harafu unalikisia linaongea Kama toto la kike linavyodeka hata tembea yake mitupio yake sijui ndio kuteka mashabiki dunia mzima ila mwisho wa tamthilia huwa hawatuonueshi ule uhusiano wao huwa hukoje wo wanaishia kuwa washauri tu wa mabosi shoga zao yaani
 
Hata Mimi nimeona

Mtoa Mada kasema Kweli
Mimi sijawahi ona hao washoga wanakaa na Masela kupiga Story Au kutembea

Hao Wanawake Sasa Ndio usiseme (wengi wao)
Hata humu Mitandaoni instagram, fesibook nk, Wanaonekana ni Watu zinazo iva Sana wakikaa pamoja mambo ya Wanasifiana wao kawaida

Ni Kama wanasupport vile
 
Hata Mimi huwa nashanga jinsi ukiliona jamaa lilivyo jaa harafu unalikisia linaongea Kama toto la kike linavyodeka hata tembea yake mitupio yake sijui ndio kuteka mashabiki dunia mzima ila mwisho wa tamthilia huwa hawatuonueshi ule uhusiano wao huwa hukoje wo wanaishia kuwa washauri tu wa mabosi shoga zao yaani
Eeh hicho ndicho nilichotaka kuongea 👊👊
 
Bas kila mtu na mtazamo wake!...kila mtu asimamie anachoona!...kwamba niwe na rafiki shoga??? Nnawafundisha nn wanangu?hapana mm siwez
Nipo kwenye suala la kukosa kazi na ushoga, nilitaka kueleweshwa hapo. Mimi pia siwezi kuwa na urafiki nao ila nina sababu zingine mfano kama hiyo uliyosema unafundisha nini wanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom