Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,739
5,816
Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila wanawakataa, au ndio ile mchagua nazi hupata koroma.

Ila wanakuja kujileta kwa hao wanaume waliowaona maboya few years back, wakishafika miaka 28+, au kama walikokuchagua kumebuma.

Yaani ulinikataa kipindi cha usichana wako, unapewa ujauzito unakimbiwa, baada ya 7 years baadae unakuja jileta kujifanya unanitaka kimapenzi, ili nikuhudumie wewe na mwanao, what kind of stupidity is this?

Baadhi ya wanawake sijui wanatuona hatuna akili kabisa!
 
Kuna moja alinikataa 😁😁😁 alinambia nitafute pesa nkapokea positively kauli yake ila alimdate mshkaji wangu tunapambana nae chimbo Moja! Juzi nimekutana ana mimba kubwa Ile haikosi 7++ alivo tu nlimuonea huruma ashaanza kua na muonekano wa mtu mzima, mshkaji kamkataa mpaka anamfata kazini
Akataka contact zangu nkachukua zake nkamwambia takucheki
 
Umri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.

Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?

Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.

Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.
 
Kwa umri huo inakuwa ni mithili ya muuza samaki kwa kutembeza alietoka kuwavua tu. Anakuwa na jeuri ya kuuza kwa bei atakayo hata ukienda na bei ndogo anakujibu kwa nyodo. Ila kadri muda unavyozidi kwenda na bei yake inazidi kushuka kwa hofu ya kuharibikiwa na mzigo.

Vibinti vya umri mchanga hujiona kuwa dunia yote inazunguka chini ya miguu yao mpaka pale uhalisia unapowagota kuwa kadri wakati unaposonga na thamani yao nayo inashuka.
 
Umri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.

Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?

Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.

Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje
Ukweli ni kuwa wengi wanautumia umri huo kudanga wanaamini kwenye kuwa na mabwana wengi ili wapige pesa.

Mindset zao hazipo kwenye kupata mume zinawaza madanga na waume za watu

Ila wapo wenzao wanaolewa vizuri tu kwenye umri huo na wana ndoa zao.

Hao wadangaji wakigonga 30+ wanashtuka madanga hayapo tena wanaanza kusumbua wanaume wawaoe
 
Umri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.

Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?

Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.

Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.
Mwamba unachekesha balaaaa,hizi comments hizi watu wanawezackukushangaa ukichwka pekeyako
 
Umri wake sio wa kutambua vizuri uongo wa wanaume. Hana mpango wa kuolewa muda huo, anaamini kwenye ndoa kuna kufungwa so bora afanye michezo yote kabla ya ndoa. Kama kwenda club, beach, kulala nje atafanya. Hivyo kampani yake inabidi iendane na wakati huo, ukija na suruali zako za vitambaa na habari za ndoa kwa binti wa miaka 22 hakuelewi.

Wachache wenye akili nyingi, malezi mazuri, UCHUMI wa wastani (hili muhimu sana kwa sasa), hofu ya Mungu, wasio na tamaa na mwisho wenye BAHATI.L huwa wanakuwa na machaguo sahihi.
 
Very true.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Umri huo binti anakua anataka kushine, aonekane mtu, aweze kumtambulisha mtu anaedate nae kwa rafiki zake.

Na pia mimi siwalaumu hao kina dada, hata akikuchagua wewe atajuaje kama wewe ni mtu sahihi?? Au labda usahihi wa mtu unaupimaje?

Mnawalaumu bure tu ila ni ngumu kupima kua huyu jamaa ni mwema au si mwema. Na kipindi hicho kila mmoja wenu anafanya jitihada za kumuwin huyo dem, so yule anaeonekana boya ni kwamba anakua hana mbinu ila yule janja janja anamuwin kwasababu ana mbinu za kumteka akatekeka.

Na kama unavojua girls wanafanya maamuzi kwa hisia, weww ukienda na propaganda zako za ndoa wakati bint ana miaka 18 atakuona jau, kuna janja ataenda na pigo za kumpeleka viwanja na shopping unadhan nani atakubaliwa??
Wewe wa ndoa atakufata akiwa na 27 yrs ili umuoe sasa ashamaliza starehe zote.
You explained it all.
 
Kuna kitu muandishi hakielewi! Women are selective ikija issue ya kuzaa na mwanaume. Wanachagua Alpha males ambao ni wanaume wanaojua wanachotaka. Men on top of the food chain. Wanataka wanawe wafanane au warithi izo tabia au DNA za Alpha. Wako tayari kuzaa na muuza mkaa mtafutaji ilimradi anajielewa na anajua atapata matunzo siku zote ata zikiwa pesa hazipo!

Mnaokataliwa ni nyie tunaita Nice Guys! Mnafikidi kumfanyia mwanamke kila kitu basi atakulipa kwa kukupa penzi lake. That's Needness. Na wanawake hawapendi needy men! Hawez kwanz kukupenda akikupenda bas kakuonea huruma na hawez kukupa papuchi maana anaona analipa fadhila tu ila sio kwmb ametaka! Ndo hawa mnaokuja na kulia hampewi licha ya kufany kila kitu kwao!

So mwanamke atazaa na Alpha male. Akishatimiza lengo lake ata asipokubalika kule yeye kwake anafuraha kalea mbegu haswa! Then atarudi kwako Nice Guy ambaye utalea mtoto asiye wako na uko tayar kudate single mom! Cause you're just nice not alpha!

Mara ngap umeona unamtak mwanamke anayepigwa au kufanyiwa visa na mpnz wake ila bado habanduki! Yan na jamaa n kauzu hana pesa wala nn.. ila demu haskii haoni! That's an Alpha. Sio uende utreat wanawake vibaya eti ndo ualpha. Hapana. Know what your worth. Wanaume wanaongezek thamani kadri umri unavyoenda. Ata 35 mwanaume una thamani. Utumie mda wako vzuri.
 
Back
Top Bottom