Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Et mdau wa warembo dah!
Hao wenye vitambi kazi hawawezi? Maana muonekano ukiwa mzuri huku kazi ''zero'' ni sawa na debe tupu. MIMI sipendi muonekano wa kizungu bali muonekano wa kiafrika zaidi, kwa hiyo kitambi kwangu sio ''issue''. Vitambi onyeeee! Wenye vitambi tutafutane.
dawa za kuzuia hedhi ndio zipi hizo!!!!!!!!!
Kila kitu wanawake tu!Nyie mshafanya mazoezi?au hamhitaji?
si wapumbavu
ha ha dawa ya kuzuia hedhi ni ipi hyo ?
....sometimes ur thread worth useless..
kuridhika tu kwani wanaume sababu ilikuwa nini?
Hali hii imekuwa inaogopesha sana, ina maana ni wavivu sana wa kushiriki michezo au ni uwezo mdogo wa kumaintain miili yao.
Wengine utafikiri ni wajawazito kumbe siyo au utafikiri wana nyama za nyongeza tumboni.
Dada zangu, mama zangu wapendwa. Mazoezi yana faida kubwa sana katika miili yetu.
Ngoja niwadokeze kidogo tu wote humu wana MMU. Ukifanya mazoezi, yule unayekutana naye kwenye mambo yetu yale ana enjoy sana. Mazoezi hulinda madhaifu mengi.
Asanten
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?