Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kila nikipataga fursa kutembelea Dar es salaam huwa naanza uchunguzi wangu,

Asilimia kubwa ya wanawake wa dar es salaam wana vitambi,

Hamjui kwamba mwanamke ikishakuwa na kitambi uzuri na urembo wake hupoteaa??

Mbaya zaidi awe na kitambi alafu awe na maziwa makubwa utamkimbia,

Wanawake jaribu ku maintain figures zenu,
Najua na hapa JF wamejaa
Pia wana ndevu na sauti za kukoroma,halafu nyuma flat screen inchi 55
 
Ngoja waje wenyewe watoe majibu ni kwanini wanakuwa hivyo...
 
Huku chugga ndiyo kabisa maana ata vyura vyenyewe ni vya wasiwasi basi taabu tupu wanapenda magauni fulani hivi kama dela kuwastill.
 
Kila nikipataga fursa kutembelea Dar es salaam huwa naanza uchunguzi wangu,

Asilimia kubwa ya wanawake wa dar es salaam wana vitambi,

Hamjui kwamba mwanamke ikishakuwa na kitambi uzuri na urembo wake hupoteaa??

Mbaya zaidi awe na kitambi alafu awe na maziwa makubwa utamkimbia,

Wanawake jaribu ku maintain figures zenu,
Najua na hapa JF wamejaa
Sababu ziko nyingi ila wengi wao ni sababu ya kutumia madawa ya uzazi wa mpango.
 
Jibu :1.Madawa ya uzazi wa mpango
2.Zile pampu za kwenye suruwali zinajaza upepe kweli kweli(utani

Chunguza wengi wao ni masingle .
 
Kila nikipataga fursa kutembelea Dar es salaam huwa naanza uchunguzi wangu,

Asilimia kubwa ya wanawake wa dar es salaam wana vitambi,

Hamjui kwamba mwanamke ikishakuwa na kitambi uzuri na urembo wake hupoteaa??

Mbaya zaidi awe na kitambi alafu awe na maziwa makubwa utamkimbia,

Wanawake jaribu ku maintain figures zenu,
Najua na hapa JF wamejaa

life style inawatesa, Mazoezi zero kula hovyo mibia ya offer.Umbea ukizidi nao husababisa tumbo kuwa kubwa.
 
Back
Top Bottom