haya mdada wa kushushua...subiri ntawaambia eeeeHaya...subiria zamu yako alafu utatuambia!!
haya mdada wa kushushua...subiri ntawaambia eeeeHaya...subiria zamu yako alafu utatuambia!!
Mke wa mtu ni sumu hasa akiwa wa jirani, lakini mume wa mtu ni mtamu...........hii ni kwa mujibu wa Da Sophy!!hahahahahahah hasira zake unaweza ua mtu au ukajimaliza we mwenyewe...maana bora uwe rijali unaweza malizia hasira kwa mke wa jirani yako kama analipa sasa kila ukimuita jamaa anaangalia chini mhh lazma hadithi isomeke vingine hapo,ila tule vizuri na kufanya mazoezi mepesi kama ya kawaida hatuyawezi!
siku zote nawapenda na kuwajali kaka zangu...ndo maana sitaki muharibikiwe!Mke wa mtu ni sumu hasa akiwa wa jirani, lakini mume wa mtu ni mtamu...........hii ni kwa mujibu wa Da Sophy!!
Hapo kwenye Red naona viwango ni lazima vizingatiwe!!! Safi sana kwa kujali maslahi ya kakako!!
Orait, Viwango na speed vitazingatiwa!!siku zote nawapenda na kuwajali kaka zangu...ndo maana sitaki muharibikiwe!
nna mpango wa kuwafungulia kananihii ka kuwachakachua ila mtakapenda maana najua wengi mazoezi kwao mzozoOrait, Viwango na speed vitazingatiwa!!
Kwa siye tulio na miili yetu itabidi mtutafutie kitu kingine cha ziada baada ya Mazoezi na chakula ya usiku kwa mama kayayii!
Ka-kitu gani hako? Mimi unipe offer kama hakatahusisha kuguswa makalio yangu!!! tehe tehe!!!nna mpango wa kuwafungulia kananihii ka kuwachakachua ila mtakapenda maana najua wengi mazoezi kwao mzozo
hhahahahhaahah kuwa mpole...inaweza ikawa ni moja ya hatua za uchakachuaji,usikonde mipango ikikamilia weye utakuwa wa mwanzo mwanzo akifatia the bossKa-kitu gani hako? Mimi unipe offer kama hakatahusisha kuguswa makalio yangu!!! tehe tehe!!!
Hapo sasa umesema jambo la msingi sana, HAPO KWENYE RED HAPO!!!! HAGUMU!!! labda kama uchakachuzi unafanywa na shosti wako ambaye viwango vimethibitishwa!hhahahahhaahah kuwa mpole...inaweza ikawa ni moja ya hatua za uchakachuaji,usikonde mipango ikikamilia weye utakuwa wa mwanzo mwanzo akifatia the boss
ahh ngoja nkalale mdogo kama kidot bwana...Haye kaharibu usiku wangu mororo,zoezi zima la uchakachuzi litafanywa na mzoefu chini ya usimamizi makini wa shosti......inabidi tuandamane au tuwatupie mayai viza mpaka watupatie sikukuuu ya wafugaji...ila isiwe ya wafuga vitambi!Hapo sasa umesema jambo la msingi sana, HAPO KWENYE RED HAPO!!!! HAGUMU!!! labda kama uchakachuzi unafanywa na shosti wako ambaye viwango vimethibitishwa!
You have earned Lunch at my Ranch sikukuu ya wakulima 8/8/'11 (sijui kwa nini hakuna sikukuu ya ya wafugaji!! damn!)
watu tunatofautiana sana
wengine tuhafurahia mwanamke wako akinenepa
haitusumbui kabisaaaa...
kabisa! Anafanya mazoez ya kukaza tumbo anaweka 8 nzuri akivaa hata gunia anapendeza!!ukinenepa wowowo nguo zote zinakaa au hujui?????
hahahaha! Nimewaza hlo cpati picha! Mwe!kitambi kikizidi sana kuna siku itafika ukitaka kupiga mashine itakubidi ufunge mkanda hicho kitambi ili kibolo chako kitokezee! Yaani sipati picha! Hahahahahaaaaaaaaaa
Huyu mwembamba mbona ni kama ana nanihi ya mwanaume? Au sijanawa uso? Hebu che hapo kwenye blueMbona picha ya pili mamaa yuko peke yake? Maana wadhungu wasivyopenda unene haikawii keshatoa talaka. Kwa wabongo huyo dada bado analipa.
aiseeeeee.... na mie kitambi kinaanza.. ngoja niache pombe... nisije shindwa piga mechi
Kutembea dk 10 kwa wiki mara 3 inasaidia kumbe?!, ila hayo mazoezi ya kihindi kama ni hivyo basi asilimia kubwa ya wabongo maisha yao ni mazoezi.yaani umemaliza kila kitu mpendwa.....watu tunajisahau sana na tunashindwa kujua ni rahisi sana kuzuia maunene kuliko kujipunguza.kula vizuri,fanya mazoezi sio lazima kwenda gym hatakutembea dakika kumi kwa wiki mara tatu ni mazoezi pia na mwisho wa siku utajipenda hasa...
kuna watu ambao hawatembei kabisa wanaona uvivu...sasa kwa mtu kama huyu hata dakika 10 zinamtosha ndugu yanguKutembea dk 10 kwa wiki mara 3 inasaidia kumbe?!, ila hayo mazoezi ya kihindi kama ni hivyo basi asilimia kubwa ya wabongo maisha yao ni mazoezi.
ndio mwanzo
ndo maaana wamama aliojifungua wakila ovyo...
Sio sawa na wadada wanaokula ovyo wasiowahi kubeba mimba
mhhh labda watu tunatofautiana mavazi.....kuna nyingine hazitaki hizo wowowo