Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

zinauma/kuwasha
hasa kwa wale wenye mikebe mikavu...[emoji30]
 
!
!
Zinaweza kuwa sababu nyingi sana ila mimi nadhani ni ile uhalisia una utofauti wake na ufake........Dushe likivaa condom linakuwa sio halisi na wao wanahitaji halisi. Ni rahisi sana kwa mwanamke ambaye tangu anatolewa bikira yake kama alitolewa na kondom kuendelea kutumia kondom kuliko hawa ambao washaonja kitu cha kavukavu eikeiei nyumunyumu...huyu wa nyumunyumu atarudia tu
 
Toka lini ukaona ndizi inaliwa na ganga lake.....lazma utoe ganda ndio ule....
 
Hao watakua wanajijua kama maiti watarajiwa,na hata mwanamme mwenye akili zake akimuona mwanamke mwenye style hiyo jiulize kabla yako wewe amesha wavulia wangapi na hao kwenye wangapi wazima wangapi?
Sio hivyo NIMPENDE bhaana,tatizo zinawasha bhaaana ,hata mimi demu mmoja alinambia hivo hivoo,tena alisema anawashwa mpaka kwenye tigo.
 
Back
Top Bottom