Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Wanataka mautam live ....

Hata mimi nikiwa na wasiwasi na mtu siwezi kujenga mazoea ya kumgegeda
 
condom ndo nini si ile mipira wanayovaa madaktari kwaajiri ya kuhudumia wagonjwa ...ama ninini hicho condom
 
Waungwana wote humu ndani mtakuwa ni mashahidi.

Kwa wale wanaopenda totozi mtaelewa maana ya ninachoongelea hapa na mtaungana na mimi.Kwa wale ambao mbunye kwenu ni kitu adimu basi naamini hatutaelewana.

Jamani tangu nianze kufanya mapenzi hadi leo nimelala na wanawake wengi sana na nina watoto watatu wa mama tofauti,ila sijaoa na sifikirii kuoa katika wanawake hao wengi niliopakuana nao kwa kweli ni watatu tu ndio walioweka mkazo wa kondomu na walikaza haswa.

Wengine wote huwa hata kukumbushia hakuna wala nini.sasa waungwana najiuliza hivi ni kwa nini wanawake wengi hawapendi kuliwa pipi zao na maganda?Yaani unakuta demu unamvua hadi chupi ila hasemi kitu kuhusu kondomu,hadi unampanda ila kimya tu.

Sasa najiuliza sana hii kitu ni kwanini hawa dada zetu hawapendi kondomu? Tena mwingine ukimng'ata na kondomu basi ujue siku nyingine haji tena na wengine ukimwambia tutumie kinga,huwa wanalalamika eti zinawawasha.
ukiona hivo ujue anataka ufe
 
utafiti unaonesha kuwa inapofikia wakati wa sex. basi maamuzi makubwa ya kutumia kinga ama la anayo mwanaume.
Uthibitisho ni wanawake wangapi huenda kununua kondom ili kujikinga? ananunua anweka kwa handbag yake. just in case hakuna. mwanume usipojiongeza kuvaa yeye anakuanikia tu!! sasa kama mwamanume kalewa basi kavu kavu!
 
Back
Top Bottom