Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

mchepuko wa rafiki yangu huu ,nyie wanawake hatari sana
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1465813841578.png
    uploadfromtaptalk1465813841578.png
    50.6 KB · Views: 172
mi mwenyewe na uwanaume sipend tumia ndosi mana kale kautelezi huwa sikaskii kabisa nkiivaa. naboreka
 
mhmhmhmhmh sijui hata nianzie wapi ngoja nije na ID kivuli soon
 
Mmmm Ngoja wafunguke. ?.nasikia mafuta ya condom yanawawasha after pia wanapenda tu si unajua mishedede ikiwa direct flesh
 
Mara ya mwisho kutumia kondom nilikuwa napuliza Kama Maputo na kujaza maji ndani yake mpaka lita 20..hahaah that was long time ago nilivyokuwa Dogo janja.

Kweli sijawai kukutana na mwanamke anaedai condom hata katika zile one night stand zangu na pia mimi condom sizipendi may be sababu siamini kama ukimwi unaambukizwa na kusababishwa na ngono
We Chuma cha mjerumani haswaaa
 
mwanaume: nitumie kinga
mwanamke: utakavyoona wewe..

mwanaume: mimi sipendi haya mavitu sema basi tu..
mwanamke; hata mi enyewe nasikia mafuta yake yana madhara kwenye kizazi ..

mwanaume; kwa hiyo tufanyeje?
mwanamke: ka vipi tusitumie ..
Best conversation.
 
Back
Top Bottom