Kwanini wanawake wanatuita "Bwana" au "Mabwana"

Nimekuelewa uzuri sana
 
Kwenye lugha ya Kiswahili,
Bwana ni utambulisho wa jinsia,mara nyingi ni kwa mtu ambaye amevuka uvulana,

''Mabibi na mabwana'' humaanisha wake kwa waume,

Hata kwenye kadi za mialiko,kabla ya kuandika jina utakuta maelezo ya,

Bibi....
Bwana....

Wataalamu wataongezea zaidi.
 
Kitu pekee ambacho mwanamke hawezi kufanya ni kumheshimu asiyemuona anastahili kumheshimu.

Mwanamke hawezi ku-pretend heshima. Kama hakuheshimu utaona tuu
 
Moja wapo ya madhaifu ya lugha yetu. Lakini pia kiuhalisia mwanamke anapaswa kumtii mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…