Kauliza mbona una bwana ila kujinyenyekeza zero bibi?🤣Mimi naona majibu unayo tayari! Sasa sijui tunaongezea wapi🤔
Kwa hiyo lengo kuu la hii mada yako unataka watu wajadili kwa nini wanaume wanaitwa "Bwana/Mabwana"!!!Salam sana Wakuu,
Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa😀
Naeza kuelezea Bwana as a Master, means ni mtu unaemheshimu au kumtumikia. So Mwanamke akimwita Mwanaume ni Bwana ake, means anafaa amtumikie, kunyenyekea na kumfanyia anachotaka.
Lakini ni tofauti sana na behavior za wanawake. Anakuita Bwana ake lakin vurugu mechi kibao.
Nawakaribisha tujadili ME kwa KE, why tunaitwa Bwana au Mabwana, do it reflects what it means? Why do they call us in that way?
Nawasilisha😀
Salam sana Wakuu,
Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa
Mm kama bwana wako, una lipi la kunambia siku ya leo 😎Mimi naona majibu unayo tayari! Sasa sijui tunaongezea wapi🤔
Maskini ya mungu me huwa natumia pande zote. Utasikia "aaaah! Unazingua bwana". Hata kwa manzi yangu sijui itakuwaje.Salam sana Wakuu,
Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa.
Naeza kuelezea Bwana as a Master, means ni mtu unaemheshimu au kumtumikia. So Mwanamke akimwita Mwanaume ni Bwana ake, means anafaa amtumikie, kunyenyekea na kumfanyia anachotaka.
Lakini ni tofauti sana na behavior za wanawake. Anakuita Bwana ake lakin vurugu mechi kibao.
Nawakaribisha tujadili ME kwa KE, why tunaitwa Bwana au Mabwana, do it reflects what it means? Why do they call us in that way?
Nawasilisha
Inafurahisha sana!Mm kama bwana wako, una lipi la kunambia siku ya leo
Inasikitisha na kufurahisha kwa pamoja 😎Inafurahisha sana!
Akupe makande 😀Mm kama bwana wako, una lipi la kunambia siku ya leo 😎
Inafurahisha sana kwa huyu mpare.Akupe makande
Zero kabisa nimewaachia wenye gen yao🤭🤸🏽♀️Kauliza mbona una bwana ila kujinyenyekeza zero bibi?🤣
Bwana wa bwana uinuliweeee😀Mm kama bwana wako, una lipi la kunambia siku ya leo 😎
bwana bwana🤭Akupe makande 😀