Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Year unachokiseam ni kweli anold,sema tukirud kwa mwanamke akijua mpole sana kosa dhalau,majibu machufu anakuona bwege
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?

Karibuni
Kipindi ningali msichana mdog nilipenda mwaume mkorof mbabe nikiwa naiman ya kulindwa kujiona niko ktk ulinz mathubut lakin lilipokiluja suala.la ndoa nilipenda mwanaume mpole ili tu niishi kwa aman mana yule mtukut alishanifunza utukut ....na namshukur Mungu kanipa mwanaume.mkimya na mpole mno
 
Ahahaha nimecheka sana@La gioconda,nimesoma makala nyingi za saikilojia kuhusiana na hii mada,ukweli ni kwamba ktk umri wa ujana wasichana hupenda vijana chakaramu yani type ya Nay wa mitego wababe hiv,majigambo hiv,wanaopenda kutawala mazungumzo wakati wote na mahali popote,wajuaji kila kitu wanajua ili kutengeneza confidence ya kutegemewa ....
HAWA SI NDIO WANAITWA ALPHA MALE? WANAWAKE WENGI WANAPENDA MA ALPHA MALE
TATIZO UKIWA MPOLE UNAONEKANA DHAIFU NA UNAPELEKESHWA HADI KAZINI AU MTAANI NA WANAUME WENZAKO, SO ANAONA KAMA UNAMUAIBISHA VILE
NIPO SAHIHI MA LADIES WA JF??
 
Si kweli, wanawake wengi wanapenda wanaume wakaorofi wanaowapiga na kuwathibiti. Ukiwa mpole utapendwa ili uchezewe tu huku mkeo akiwa nje kujiuza na kujirusha na wanaume wengine kwani anajuwa hata akirudi nyumbani usiku wa manane hutomfanya kitu.
Huo sio upole ni ujinga
 
ALITOKEA MVULANA MMOJA:


MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?

DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake. Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba. Simba akafa palepale!

MVULANA: Sio kweli!! Lazima kulikua na mtu mwengine pembeni aliyempiga risasi Simba.

DAKTARI: Nashukuru umeelewa somo!!
DO YOU THINK HE GOT THE POINT?
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?

Karibuni
Wapo wapole ila wepesi wa kuchukua maamuzi magumu.
Nliwahi kusikia mmoja wao ambaye mke wake akimzingua
anaondoka kama anaenda kazini,harudi tena nyumbani,hiyo nyumba
anamwachia mke wake aishi na watoto na anaenda kuoa tena
bahati nzuri ana uwezo,kwa sasa yupo kwenye nyumba ya nne. na ni mpole kweli ukimuona.
 
hihiihhii mi nataka mtaratibu mpole anabore na sitaki mkali naogopa saaana
NJOO KWANGU MAMAA, AU UMESHAOLEWA? KUNA SIKU ULINIFURUMISHIA MATUSI NIKAWA TURNED ON ILE MBAYAA... MIMI SIO MPOLE WALA MKALI, ILA NA REASON NA WATU
 
Wanawake wapole ni wazur sana ila usiombe wakufanyie tukio 1 tu utalikumbuka hilo ktk maisha yako yote
 
Kwa wale wenye ujenz Mr aluminium glass yupo pamoja nas kwa ujenz bora wa madirsha na milango ukihitaj piga sim no +255 654 069 041 WhatsApp pia no hyo hiyo
 
NJOO KWANGU MAMAA, AU UMESHAOLEWA? KUNA SIKU ULINIFURUMISHIA MATUSI NIKAWA TURNED ON ILE MBAYAA... MIMI SIO MPOLE WALA MKALI, ILA NA REASON NA WATU
hahahahahaha makubwa haya u made my day sugar
 
Mh kwa wanaume wapole pia tunasifa mbaya pia japo nami mpole c hatupig mwanamke akizingua tunakata mti tunapanda mti
 
Ukipima wanawake wakorofi ndo wanapenda wanaume wapole; sababu ni ili waweze kuwaburuza mambo mbali2
 
Mafahari wawili hawakai zizi moja,

Mkali na Mpole,
Mpole na Mkali.
 
Ni raha sanaaa aiseee,km wangu mpole kupindukia aisee hadi wakat mwingine anaboa
 
Karibu
Ni kweli wanawake wengi huvutiwa na mwanaume mkimya. Tatizo ni kwamba huyo mwanamme atapendwa na wanawake wengi naye kwa vile ni mpole hujikuta Malaya na kuzaa ovyo. Na hata jamii ikielezwa tabia ya jamaa haiamini kwani upole wake unamfanya aaminike kwenye jamii lakini ni kondoo mwenye ngozi ya simba. Nimefanya utafiti iwe mwanamme au mwanamke mpole hanifai kwani nishaonja joto ya jiwe. Now nataka mcharuko.
KaribuJF.. me pia mcharuko, nimekidhi kigezo🙂🙂
 
Back
Top Bottom