Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

wanapenda wapole ili iwe rahisi kuchepukaa..!!

N a t a n i a..
 
Ni kweli wanawake wengi huvutiwa na mwanaume mkimya. Tatizo ni kwamba huyo mwanamme atapendwa na wanawake wengi naye kwa vile ni mpole hujikuta Malaya na kuzaa ovyo. Na hata jamii ikielezwa tabia ya jamaa haiamini kwani upole wake unamfanya aaminike kwenye jamii lakini ni kondoo mwenye ngozi ya simba. Nimefanya utafiti iwe mwanamme au mwanamke mpole hanifai kwani nishaonja joto ya jiwe. Now nataka mcharuko.
 
Ahahaha nimecheka sana@La gioconda,nimesoma makala nyingi za saikilojia kuhusiana na hii mada,ukweli ni kwamba ktk umri wa ujana wasichana hupenda vijana chakaramu yani type ya Nay wa mitego wababe hiv,majigambo hiv,wanaopenda kutawala mazungumzo wakati wote na mahali popote,wajuaji kila kitu wanajua ili kutengeneza confidence ya kutegemewa na ulinzi yani msichana atajiona yupo salama hata itokee ishu yoyote kwenye maxingira yoyote lkn inapokuja suala la ndoa hawa wadada hupenda vijana wapole kwa sabb wanasettle yani kutulia ktk ndoa,wanashaurika na wanajali tofauti na kundi la hawali ambalo halishauriki na halijali ni ubabe mwanzo mwisho....
 
Bila kufikia muafaka wa tafsiri ya mwanaume mpole, watu wataishia kunena kwa lugha. Kila mtu na maana yake kichwani.

Mpole ni polite au gentleman? Anaweza kuwa polite asiwe gentleman?
Kwa kweli hapo umeongea, kuna watu hawaongei ila matendo yaoo Mmh Mmh mmh
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?

Karibuni

Hiyo 'asilimia kubwa' umeipataje? Umeitoa wapi?
 
ALITOKEA MVULANA MMOJA:

MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?

DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake. Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba. Simba akafa palepale!

MVULANA: Sio kweli!! Lazima kulikua na mtu mwengine pembeni aliyempiga risasi Simba.

DAKTARI: Nashukuru umeelewa somo!!
 
It's always topsy turvy with women. One minute they're down with none but draking, the next one they on some Ol' Dirty Bastard's vibe, going shimmy-shimmy-yah and what not. I like 'em mysteriously tho.
Kaaaaaaa samahani namiminataka niwe naongea kama hivi blaza hebu nipe ushauri tafadhari..
 
Sasa tupende wagomvi ili iweje?mwanaume mpole ndo mpango mzima sio jitu kitu kidogo tu makelele, ugomvi, badala ya kukuelewesha kwa upole anaongea mpaka anasimamia kucha
Kumbe wewe ni ke?!
 
Mbona wapo wanawake wengi sana wanapenda kua katika mahusiano na 'bad boys'. After all 'bad boys' are said to be more romantic kuliko wanaume wapole
 
Ahahaha nimecheka sana@La gioconda,nimesoma makala nyingi za saikilojia kuhusiana na hii mada,ukweli ni kwamba ktk umri wa ujana wasichana hupenda vijana chakaramu yani type ya Nay wa mitego wababe hiv,majigambo hiv,wanaopenda kutawala mazungumzo wakati wote na mahali popote,wajuaji kila kitu wanajua ili kutengeneza confidence ya kutegemewa na ulinzi yani msichana atajiona yupo salama hata itokee ishu yoyote kwenye maxingira yoyote lkn inapokuja suala la ndoa hawa wadada hupenda vijana wapole kwa sabb wanasettle yani kutulia ktk ndoa,wanashaurika na wanajali tofauti na kundi la hawali ambalo halishauriki na halijali ni ubabe mwanzo mwisho....
Mi hadi kwenye ndoa bado nimeingia kwa mume mbabe! Yaani mi wapole siwapendi hata chembe
 
halafu hawa watu wapole wanatutafunaga kiulainiii, huo upole wao wanautumia vyema niwakatili hawana mfano ni maplayer wasio kifani.
 
Back
Top Bottom