Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Hapana Doto Dotto mi ni mwanamke kamilifu kabisa. Sio lazima niwe na mtizamo wako, wanaume wapole siwapendi hata kidogo.
I think hujanielewa. Nikisema mwanamke jike dume unaelewaje labda!
 
Nishakula nyapu nyingi sana kutokana na upole wng. Girls really like cool guy charming and all tht... not talkative,
Its a blessings
 
Mingine mikorofi utazani imeogea u.p.u.p.u au imekula pilipili kichaa.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?

Karibuni
hivi kuna mwanaume ambaye anapenda mwanamke mapepe
 
Sasa tupende wagomvi ili iweje?mwanaume mpole ndo mpango mzima sio jitu kitu kidogo tu makelele, ugomvi, badala ya kukuelewesha kwa upole anaongea mpaka anasimamia kucha
Mi ni mkari tena mkurya lakini mademu wanani mind ile mbaya Na sina tabia ya kuonga
 
Mwanaume akiwa mpole kupitiliza hata wakati wa kwichi-kwichi atashindwa kumfikisha bby ake kunako
 
Back
Top Bottom