NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,898
ili wampelekeshe vyema.
Tamu na chungu hapohapo mweehNi raha sanaaa aiseee,km wangu mpole kupindukia aisee hadi wakat mwingine anaboa
Hahahahahaha umenichekesha kweliTamu na chungu hapohapo mweeh
Hapana Doto Dotto mi ni mwanamke kamilifu kabisa. Sio lazima niwe na mtizamo wako, wanaume wapole siwapendi hata kidogo.We utakuwa jike dume+ Semenya
Huo sio upole ni ujinga
Wewe unapenda wanawake wakorofi?Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wapole,ni sababu zipi zinawafanya kuingia katika mahusiano na wanaume wapole ?
Karibuni
Mimi mpole sana pls tutafutane.Sasa tupende wagomvi ili iweje?mwanaume mpole ndo mpango mzima sio jitu kitu kidogo tu makelele, ugomvi, badala ya kukuelewesha kwa upole anaongea mpaka anasimamia kucha
Preta wangu siku zote unaniwakilisha ilivyoo mijitu mipole ni minafiki sana! Ata mimi janamke pole sogeza mbali na mie...! Mnaweza cheza match limenuna tu kuongea mpaka lichombezwe..Tena sana.......naweza nikajisahau nikakuzaba kofi ikawa balaa.......
Unanikosha sana pretaah ..Sasa hiyo ndio nini.......
Gud...enjoy ur life with cool mens..
Mi ngachoka hapaIt's always topsy turvy with women. One minute they're down with none but draking, the next one they on some Ol' Dirty Bastard's vibe, going shimmy-shimmy-yah and what not. I like 'em mysteriously tho.
hahaaaaasssaaasaasaaaaaaaaaWe utakuwa jike dume+ Semenya