Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Kwanini wanawake wanapenda wanaume wapole?

Si kweli, wanawake wengi wanapenda wanaume wakaorofi wanaowapiga na kuwathibiti. Ukiwa mpole utapendwa ili uchezewe tu huku mkeo akiwa nje kujiuza na kujirusha na wanaume wengine kwani anajuwa hata akirudi nyumbani usiku wa manane hutomfanya kitu.
 
wanaume wapole they are sweet, jmn mwanaume mkali duh cmuwez maana nmekulia maisha ya kubembelezwa sn tena na baba yangu na kaka zangu so akiwa mkali n sumu kwangu...kwanza uyo akiwa mkali hata watt watakua wanamuogopa
 
Mpole ni mzuri ila huwa anatabia kuweka vitu vizito moyoni
 
Mwanaume mpole Mara nyingi muelewa saaana na hakurupuki kufanya maamuz yake!...
kwa sababu hiyo ndio maana wanawake wengi hasa wenye mtazamo chanya juu ya ndoa(wife material) wanahitaji kuwa na watu wapole maana lazima maisha yaende......
 
Back
Top Bottom