Haha siku nikitulia nitaweka hapa uzi kabisa..kuna meng ukiyajua basi hawakusumbui.. mfano kuna siri kubwa tu hata kweny umri wa wanawake..ukishajua timeframe yao ilivyo basi kwisha habari yao[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe!
Aiseee!
Haya madini kuyaweka hapa kama post tu ni kutoyatendea haki.
Hii inafaa kuwa uzi kabisaa ili ijadiliwe
Ok..Haha siku nikitulia nitaweka hapa uzi kabisa..kuna meng ukiyajua basi hawakusumbui.. mfano kuna siri kubwa tu hata kweny umri wa wanawake..ukishajua timeframe yao ilivyo basi kwisha habari yao[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume akishakua bad boy maana yake anajua how to trick women, wanawake wanapenda mtu wa kuwadanganya danganya na kucheza na akili zao. Sasa huwezi kujua kucheza na akili za wanawake kama umekomaa na mwanamke mmoja.
Haina noma mkuuOk..
Ukiweka huo uzi ni-tag mkuu[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]ila kweliTunapenda zile heka heka
Mwanaume akitulia sana nae anabore
100% [emoji106]Tunapenda zile heka heka
Mwanaume akitulia sana nae anabore
Tumekuelewa🙌Mwanaume akishakua bad boy maana yake anajua how to trick women, wanawake wanapenda mtu wa kuwadanganya danganya na kucheza na akili zao. Sasa huwezi kujua kucheza na akili za wanawake kama umekomaa na mwanamke mmoj...
Tunajua kuwabebisha na pia tuna msimamo, sio watu wa kupelekeshwa hovyohovyo na wanawake.hawajui kuweka mambo rohoni
hawana visasi
wananuka jasho la kiuanaume
wanamarafiki wakiume wengi kuliko wakike
wakipenda wanapenda haswa labda tu akutamani
wanagenge la kusaidiana matatizo sio wale umedondoka kwenye maji anakuselfie apost wavuvi waje wakuokoe
wanakauli msisitizo sio wale wa ndiyohapana
hawana mda wa kuwasikiliza majirani
kikubwa zaidi hawana mda wa kutweta na ndugu zao juu ya uhusiano wenu (kwa wale mawifi na mashemeji wenye chokochoko)
akikupenda na akajua unampenda kweli bila kumsaliti yupo radhi akukabidhi mshahara wake hii ni kwavile genge lake ni watu wa kusaidiana so huofia huenda atazimalizia huko.
Iko hivi, kumwelewa mwanamke ni swala la psychology tu,yani unatakiwa kujua psychology ya wanawake ilivyo.
Wanawake muda wote wapo na wasiwasi,all the time wako hivyo,Ukishalijua hili kazi yako kama Mwanaume ni kujua jinsi ya kutumia wasiwasi wake au wao kama advantage kwako.
😄 kweli mpo sema wazazi wetu ni wakianalogy sasa akijuona unadate na mwanaume asokota rasi tyr anaitwa muhuni ndo sawa na mtoa mada eti mvuta bangi ni mhuni daah.Tunajua kuwabebisha na pia tuna msimamo, sio watu wa kupelekeshwa hovyohovyo na wanawake.
Nikimkuta kavaa vinguo vya ajabu ajabu nampiga mikwara ya maana "we mke wa mtu unavaaje nguo za namna hio, kama umeshindwa kujiheshimu basi niheshimu mimi mumeo"
Tupo pamoja mkuu [emoji119][emoji119][emoji119]Umemaliza kila kitu kaka mkubwa.
Heshima kwako.
Aisee...Bad boys wengi sio wafatilia mambo madogo madogo kama umetinda nyusi,umesukaje,umevaaje etc
Hata mi nimeshangaa bad boys na zawadi wap na wapHakuna badboys mnyenyekevu wala anaetoa vizawadi.hizi ni sifa za Magud boys ( Average frustrated Champs)
Kaandika kinyume chakeHata mi nimeshangaa bad boys na zawadi wap na wap
MKUU HAPA UMEMALIZA KILA KITU, KAMA NI MTIHANI NINGEKUPA 100% NA YA SODA JUU.Iko hivi, kumwelewa mwanamke ni swala la psychology tu,yani unatakiwa kujua psychology ya wanawake ilivyo.
Wanawake muda wote wapo na wasiwasi,all the time wako hivyo,Ukishalijua hili kazi yako kama Mwanaume ni kujua jinsi ya kutumia wasiwasi wake au wao kama advantage kwako.
Nice questionKwa hivyo kuvuta bangi kwako ndiyo kipimo cha uhuni?
Hao ni Wasichana si Wanawake, utambue kuna tofauti kubwa sana kati ya Wasichana na Wanawake.Iko hivi, kumwelewa mwanamke ni swala la psychology tu,yani unatakiwa kujua psychology ya wanawake ilivyo.
Wanawake muda wote wapo na wasiwasi,all the time wako hivyo,Ukishalijua hili kazi yako kama Mwanaume ni kujua jinsi ya kutumia wasiwasi wake au wao kama advantage kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku nyingine kuwa na adabu, sio kila mvuta Bangi ni muhuni wengine ni watu wenye shughuri zetu za kutuingizia hela ya kula zinazotufanya tuishi mjini
Narudia tena kuwa na adabu