Swali la kijinga kabisa la kumalizia mwaka 2019.
Sababu ziko wazi na watu walishalizungumzia sana humu ndani.
Ila kwa kuwa ni kutoka kwako mr Zero IQ sio mbaya sana.
Unforgetable
Kwa sababu wanajua ipo siku utakosa pesa,utashindwa mkaza,kama watoto wakikua watakusahau na kumjal yy,anatamani ifike siku amiliki nyumb,gari,kiwanja sijui pensheni yako
Yaan akili zao zijui sijui nani original yake maana ni wazi wanawake wote akili zao ni copy (zinafanana)
Sent using Jamii Forums mobile app
FIFO au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mnatuoa huku mmetuzidi umri nini kitazuia msitangulie. Itokee tu mwanamke kutangulia ila ukishawahi kuzaliwa jiandae kuwahi kufa pia.
First in, first out. [emoji41]
Tumia FEFO"first expire first Out"
Mwanamke siku zote huwa anaamini kwamba mwanaume ndie atakaeanza kufa,
Kama unabisha mwambie mkeo "Hii Nyumba nataka kuiza"
Utasikia "Alafu Ukifa mimi Nitaishi wapi na wanao".
Sababu zipi zinazowafanya waamini kwamba wanaume ndio watakaoanza Kufa.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hiyo Mkuu. 😂😂😂
Kwa sababu wanajua ipo siku utakosa pesa,utashindwa mkaza,kama watoto wakikua watakusahau na kumjal yy,anatamani ifike siku amiliki nyumb,gari,kiwanja sijui pensheni yako
Yaan akili zao zijui sijui nani original yake maana ni wazi wanawake wote akili zao ni copy (zinafanana)
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa kuwa na huruma basi.