Kwanini wanawake wanaamini wanaume ndio watakaonza kufa?

Kwanini wanawake wanaamini wanaume ndio watakaonza kufa?

Hahahaa. Mkuu naona unataka kunirudisha darasani leo. 😀😀

Mie napendekeza kwenye huu uzi FIFO ndio itumike. 😀😀😀😀
Kwa maslahi mapana ya maendeleo ya taifa, LIFO ndo inafaa Sana. Maana taifa linapoteza nguvu kazi. Ila wanaume tuna mateso sana. Una miaka 35 umeona mke ana miaka 22. Umefika miaka 45, kisukari hicho hapo, muda huo ndio kwanza mwenzako ana 32. Kinachofuati hapo ushuhuda unapatikana uzi mmoja hivi pale MMU kimasihara kabisa.
 
Ndio Ukweli...tunapata kipato kwa kurisk sana maisha yetu...nenda mochwari asilimia zaidi ya 90 wanaokufa ...sio natural deaths, ni either ajali, magonjwa nakadhalika na vingi tunakumbana navyo kwenye mishemishe bila kusahau stress za kina ndoa!!
 
Back
Top Bottom