Kwanini wanawake wanaamini wanaume hatuna haki ya kukataa kufanya nao mapenzi?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Nitoe mfano mdogo tu kwangu mimi.

"hapa nyumbani shemeji yenu naishi nae vizuri tu lakini kuna swala hili moja, kuna kipindi nikimuhitaji kimapenzi yuko huru kuniomba excuse kama siku hiyo hatokuwa tayari kwa sababu mbali mbali inaweza kuwa kuchoka au kutokuwa na hamu tu.

Lakini ikija kwangu ni kinyume chake, yeye akiitaji kushiriki na mimi nikimuomba excuse kwamba nimechoka naomba aniache nipumzike hawezi kunielewa.

Atalazimisha sana na ata nikizidi kukaza ataleta maneno maneno mengi ya kunilaumu "sitaki kwa sababu nimetoka kukutana na malaya zangu huko, sitaki kwa sababu labda nimemchoka na Nk."

Maneno huwa ni mengi aswaa.

Ndio maana nimekuja hapa jamvini tujadili, Hivi kwa nini wanawake wanaamimi sisi wanaume hatuna haki ya kukataa kufanya nao mapenzi? Kwa nini?


Cc Zero IQ
 
Nitoe mfano mdogo tu kwangu mimi.
"hapa nyumbani shemeji yenu naishi nae vizuri tu lakini kuna swala hili moja, kuna kipindi nikimuhitaji kimapenzi yuko huru kuniomba excuse kama siku hiyo hatokuwa tayari kwa sababu mbali mbali inaweza kuwa kuchoka au kutokuwa na hamu tu,
Utasema ana hati milik ya mshipi wako😒..inanikera mno..cjui Ni ulimbuken, kunogewa au ndo mfumo jke ata sielewag mm
 
Kwa nini wao huwa ndio wanachoka mkuu, sometime tunakwangua sawa lakini mbunye ukija ukiichapa chapa sana inatoa appetite
 
Back
Top Bottom