Kwanini wanawake wanaamini wanaume ndio watakaonza kufa?

Kwanini wanawake wanaamini wanaume ndio watakaonza kufa?

Njia ya mwanume ili aishi miaka mingi ni moja tu kuacha kuoa au uwe na wanawake zaidi ya 1.
 
Ukipata jibu ongezea na sababu za wanawake kutohusika kuandika wosia.
 
Ndio uhalisia huo wanaume tunawahi kufa sababu ya stress na shurba za maisha
 
Sio wote lkn wenye uwezo wa kula hivyo
Sababu mojawapo ni life style.Mwanaume anaacha pesa ya kununua nyama mara mbili kwa wiki.Nyama ambayo mke na watoto wanakula finyango tatu kula mmoja.Siku 5 kati ya saba kwa wiki familia wanakula maharage,dagaa na mboga za majani.Baba yeye akienda kazini breakfast ni chai ya maziwa,supu ya ng'ombe Na chapati.Lunch Ugali nyama au ndizi nyama au wali nyama ya ng'ombe.Akitoka kazini anapitia mahali ili kuongea na marafiki wanaagiza bia,nyama choma ya mbuzi na ndizi choma.Akirudi nyumbani anakula tonge mbili za ugali ili mama Manka asishtuke kama kala mahali.Hivi kwa mtindo huo wa maisha nani atatangulia kufa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom