Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,263
- 12,197
Tangu lini wanawake wa Mbeya wakapiga wanaume?Na hiyo mishepu ndo inawashepu kupiga waume zao si ndivyo..?
Subiri waliowahi kupigwa watakueleza..πTangu lini wanawake wa Mbeya wakapiga wanaume?
Ulishapigwa kwaniNa hiyo mishepu ndo inawashepu kupiga waume zao si ndivyo..?
Hata kidogo sijawahi!.. ila kuna watu niliwahi kuwasikia wakisema wanawake wa Mbeya wanaruka mateke hao Kama Van Dame..πulishapigwa kwani
siyo mbaya kidogo kwa afya .πHata kidogo sijawahi!.. ila kuna watu niliwahi kuwasikia wakisema wanawake wa mbeya wanaruka mateke hao Kama vandame..π
mkuu mashepu kaa yoteWengi wao Wana sura za kiuanaume aisee
π€£ππsiyo mbaya kidogo kwa afya .π
HahahaaaaaaMatokeo ya kula maparachichi ya Tukuyu
haha unanisubiria wapi nitangulie kabisaaπ€£ππ
Eti kwa afya!.. nakusubiri tu we jidanganye tutaona tu ni kwa afya au chafya..π
kwa hiyo mkuu wasipigwe kidogo jamani.π€£ππ
Eti kwa afya!.. nakusubiri tu wewe jidanganye tutaona tu ni kwa afya au chafya..π
Kitandani uwanja wa Vita..πhaha unanisubiria wapi nitangulie kabisaa
π π ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈKitandani uwanja wa Vita..π
Ili nione hayo mateke au makeke..π